Ukimpenda LIKE...usipo mpenda COMMENT...

Ingekuwa usiku ningetafuta sungusungu wanilinde,mweeeee
 
Sasa Judisi ndo nn? lol

Nimejikuta najiuliza hivi huyu hajapiga maji ya goldi jana kweli?

Kama unaishi Tanzana mjini si mgeni wa katangazo fulani ka haki elimu ambapo jamaa anaingia darasani na kusema ''how are you, kabint kakainuka kwa kujiamini kakasema my name is Judisi....
 
Kama unaishi Tanzana mjini si mgeni wa katangazo fulani ka haki elimu ambapo jamaa anaingia darasani na kusema ''how are you, kabint kakainuka kwa kujiamini kakasema my name is Judisi....

hahahahaa. Na kweli. lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…