Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Ktk pitapita zangu hususani ktk mitandao ya kijamii nimeona watu wanaelezea hisia zao juu ya aina ya mwanaume/mwanamke anayemvutia, kwa wadada wengi wanasema pesa, urefu nk. kwa upande wa wanaume ni sura, figure nk sasa wewe kama ni mdada mwanaume anakwambia kuwa amekupenda kwa sababu ya sura jiulize endapo utapata ajali na kuharibika kama utaendelea kupendwa na kwa wewe mkaka jiulze kama mdada anasema kuwa pesa na urefu ndo mpango mzma, jiulize kama wewe ndo mrefu na pesa unayo wewe peke yako?