Ukimpata mwenzako msalimie kwa bashasha

Me kilaka hp nacheza zote hy namb ya kipa nilcheza kitambo hko.huw siipndelei sana inalawama sana!
 
Namba 1 au 2 inatosha hao wengine waende kwa wauza mishkaki au supu kwa hio minyama🀣
 
Kwa wanyambo tunacheza na namba tatu, ndivyo tulivyo.

Kwako mdada kulingana na kabila lako wewe ni namba ngapi hapa..?

Kwenu wanaume mnapenda namba ngapi hapa..?

View attachment 3462605
Namba 3 ili anichangamshe akili alafu hiyo 2 na 1 iwe kifungashio. Huyo namba 5 na mtumia anilele na kunipa hela za kumuhonga namba 3 , alafu namba 4 niwe na kojoa siku nikijisikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…