Pluto thnker
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 273
- 499
Me kilaka hp nacheza zote hy namb ya kipa nilcheza kitambo hko.huw siipndelei sana inalawama sana!
Kwa mie #2 ndo 👌
Wasalimie sana hapo Kayanga...nitarudi siku nyingine kumtafuta mrembo wangu no.3 hapo nyuma chuo.Karibu sana Karagwe kwa wanyambo
Mshika mbili moja humponyoka 😂😂
Namba 3 ili anichangamshe akili alafu hiyo 2 na 1 iwe kifungashio. Huyo namba 5 na mtumia anilele na kunipa hela za kumuhonga namba 3 , alafu namba 4 niwe na kojoa siku nikijisikia.Kwa wanyambo tunacheza na namba tatu, ndivyo tulivyo.
Kwako mdada kulingana na kabila lako wewe ni namba ngapi hapa..?
Kwenu wanaume mnapenda namba ngapi hapa..?
View attachment 3462605
Itabaki moja, mitamu hiyo ukikutana na msafi ni burudani sana.Mshika mbili moja humponyoka 😂😂
Naguma,agaliyo okwo?waguma dada
Dah,Kwa wanyambo tunacheza na namba tatu, ndivyo tulivyo.
Kwako mdada kulingana na kabila lako wewe ni namba ngapi hapa..?
Kwenu wanaume mnapenda namba ngapi hapa..?
View attachment 3462605