Ile ndo mnaita sex drive....
Kuna watu wanapenda kulana daily...weekend mara3...yaani wako hivyo...sasa akikutana na mtu ambae kimoja cha mkwezi amefunga faili mpaka week ijayo inaleta shidaa
Wengine wanaamua kuchepuka ila sio kwamba wanapenda ila aliyenae sasa..
Nyie achaneni na nyege kabisa kama upewi vizuri na sio kwamba hakupi kwa kua hakupendi ni kwa sababu hamu zake sio kama zako aisee hii ni sababu tosha ya kuchepuka bila kujali jinsia.
Ila mkimatch yaani kila mtu anapenda kiberiti kiberiti moto moto
Hapo mtatatua nusu ya migogoro kama ingetokea asilimia 70 mmeshaitatua kabla haijatokea
Ila mkikutana wote wavivu...wakukinukisha...pia mnasonga fresh
Kimbembe ni kwa hawa watu wawili ambao mmoja anapenda na mara nyingi ni mwanaume ndo anapenda kuliko mwanamke
Sasa ukute katika hii combo mwanamke ndo anapenda viumane afu wewe story nyingi aisee utachapiwa na sio kwamba hakupendi hapna
Wanawake kama hawa unaweza ona ni malaya ila hapana hamalizwi vizuri.(TUKIONDOA SWALA LA UCHUMI)
Ni heri mtu yule apatae wa kuendana nae..kwani dunia itakua tamu kwake.