Ukimgusa Magufuli umenigusa mimi, sitakuacha salama. Magufuli ushindi tena 2020

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Augustino Chiwinga

0756810804

Kamwe sitakubali na kuvumilia kuona Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa akidhalilishwa,kukashfiwa,kubezwa au kutukanwa kwa namna yoyote ile.Kamwe sitakubali kuona waroho na walafi wa madaraka wakiendeleza uhuni wao wa kumchafua Rais Magufuli.

Sitowaacha salama nitatumia platform zile zile wanazotumia kumshambulia Rais, nitapamabana nao kufa au kupona. Rais wetu amefanya mambo makubwa sana ambayo tulikua tunasikia au kuyaona kwa picha katika nchi za wenzetu, halafu wanatokea vibaraka wa mabeberu wachache wanataka kumbomoa. NO! Hili haliwezekani Rais Magufuli ni chaguo la MUNGU aliyemteua kutoka miamba hakuna aliyetegemea kama angeweza kuteuliwa na CCM kugombea Urais huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana.

Ukimgusa yeye umenigusa mimi anaishi ndani ya moyo wangu lakini pia anaishi kwenye mioyo ya mamilioni ya Watanzania. Sio mimi tu hata Watanzania hawatokuacha salama wao watawanyoosha wote wanaompinga Magufuli katika box la kura mwaka 2020.Wajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine na watunze vizuri posho zao katika muda huu wa lala salama.

Ni Mchapakazi,Muadilifu,Msema kweli,Mpenda haki, Mtetezi wa wanyonge,Rais wa mafukara Rais wa Wajane, na Yatima,Rais wa Bodaboda,Machinga,Wavuvi Wakulima, Wchuuzi masokoni ,Rais wa Wanafunzi, Rais wa Watanzania wote. Huyu ni mtu wa kupewa moyo na kuungwa mkono anaipeleka Tanzania mahali pazuri mno,kwani anatutoa kwenye giza tunaenda kwenye mwanga.

Wale mapunguani wanaoota ndoto za 2020 waendelee kutoa kwani hawakatazwi lakini hapa Magufuli Rais ni mpaka 2025 na kauli mbiu ya Wananchi huko mtaani ni MAGUFULI USHINDI TENA 2020.
 
Njaa inakusumbua tu wewe, Huna lolote, tumeona namba subiri tutakutumia hela

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mkuu bora ungetoa maoni yako ukasepa,hakukuwa na hata ya kuwaita binadamu wengine punguani. Yamkini wewe ndio punguani namna 1.
 
Du mbona mengi anajichafua mwenyewe hasa hasa kwenye hotuba zake, wakati ukipiga huu mkwara mbuzi kamsaidie kuandika hotuba yaani hostage na hostess yeye ni gete gete.

Pia mjurishe huu ujazzband wako ili akutafutie mahali pema zaidi humu JF ni kwa thinkers na lazima tugende between lines. Mkasifiane kwenye media zenu.
Augustino Chiwinga

0756810804

Kamwe sitakubali na kuvumilia kuona Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa akidhalilishwa,kukashfiwa,kubezwa au kutukanwa kwa namna yoyote ile.Kamwe sitakubali kuona waroho na walafi wa madaraka wakiendeleza uhuni wao wa kumchafua Rais Magufuli.

Sitowaacha salama nitatumia platform zile zile wanazotumia kumshambulia Rais, nitapamabana nao kufa au kupona. Rais wetu amefanya mambo makubwa sana ambayo tulikua tunasikia au kuyaona kwa picha katika nchi za wenzetu, halafu wanatokea vibaraka wa mabeberu wachache wanataka kumbomoa. NO! Hili haliwezekani Rais Magufuli ni chaguo la MUNGU aliyemteua kutoka miamba hakuna aliyetegemea kama angeweza kuteuliwa na CCM kugombea Urais huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana.

Ukimgusa yeye umenigusa mimi anaishi ndani ya moyo wangu lakini pia anaishi kwenye mioyo ya mamilioni ya Watanzania. Sio mimi tu hata Watanzania hawatokuacha salama wao watawanyoosha wote wanaompinga Magufuli katika box la kura mwaka 2020.Wajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine na watunze vizuri posho zao katika muda huu wa lala salama.

Ni Mchapakazi,Muadilifu,Msema kweli,Mpenda haki, Mtetezi wa wanyonge,Rais wa mafukara Rais wa Wajane, na Yatima,Rais wa Bodaboda,Machinga,Wavuvi Wakulima, Wchuuzi masokoni ,Rais wa Wanafunzi, Rais wa Watanzania wote. Huyu ni mtu wa kupewa moyo na kuungwa mkono anaipeleka Tanzania mahali pazuri mno,kwani anatutoa kwenye giza tunaenda kwenye mwanga.

Wale mapunguani wanaoota ndoto za 2020 waendelee kutoa kwani hawakatazwi lakini hapa Magufuli Rais ni mpaka 2025 na kauli mbiu ya Wananchi huko mtaani ni MAGUFULI USHINDI TENA 2020.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dkt Magufuli ni mboni ya jicho letu watanzania. Mungu amlinde, Kidumu chama cha mapinduzi!
 
Wewe mbweha peleka ufala wako huko kwa mbumbumbu wenzako umetafuna trilion 1.5 na kula 10% ununuzi wa ndege kula tenda za ujenzi wa chato Airport, kupora pesa za maduka ya kubadili pesa za kigeni, kukamata pesa madini Airport, mipakani mnagawana wenyewe kimya kimya pasipo Taifa kunufaika kwa lolote, Umeshiba pesa haramu ndipo unakuja na ujinga wako hapa mitandaoni, Hivi unawafanya watanzania ni vipofu na viziwi? Kwani hawajui kuwa Utawala huu wenu ndiyo Utawala wenye ufisadi ushetani udikteta mwingi kuliko Tawala zote tokea Nchi ipate uhuru, Viongozi wa CCM ni wapigaji sana na baada ya kupiga dili huibua sikendo Fulani Fulani za kuzishi ili kuwasahaulisha wananchi kama jana mtukufu malaika toka chato alivyokwenda kutengeneza Sinema kule Airport kwa kale kandege kadogo.
 
Augustino Chiwinga

0756810804

Kamwe sitakubali na kuvumilia kuona Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa akidhalilishwa,kukashfiwa,kubezwa au kutukanwa kwa namna yoyote ile.Kamwe sitakubali kuona waroho na walafi wa madaraka wakiendeleza uhuni wao wa kumchafua Rais Magufuli.

Sitowaacha salama nitatumia platform zile zile wanazotumia kumshambulia Rais, nitapamabana nao kufa au kupona. Rais wetu amefanya mambo makubwa sana ambayo tulikua tunasikia au kuyaona kwa picha katika nchi za wenzetu, halafu wanatokea vibaraka wa mabeberu wachache wanataka kumbomoa. NO! Hili haliwezekani Rais Magufuli ni chaguo la MUNGU aliyemteua kutoka miamba hakuna aliyetegemea kama angeweza kuteuliwa na CCM kugombea Urais huyu ni mpakwa mafuta wa Bwana.

Ukimgusa yeye umenigusa mimi anaishi ndani ya moyo wangu lakini pia anaishi kwenye mioyo ya mamilioni ya Watanzania. Sio mimi tu hata Watanzania hawatokuacha salama wao watawanyoosha wote wanaompinga Magufuli katika box la kura mwaka 2020.Wajiandae kisaikolojia kutafuta kazi nyingine na watunze vizuri posho zao katika muda huu wa lala salama.

Ni Mchapakazi,Muadilifu,Msema kweli,Mpenda haki, Mtetezi wa wanyonge,Rais wa mafukara Rais wa Wajane, na Yatima,Rais wa Bodaboda,Machinga,Wavuvi Wakulima, Wchuuzi masokoni ,Rais wa Wanafunzi, Rais wa Watanzania wote. Huyu ni mtu wa kupewa moyo na kuungwa mkono anaipeleka Tanzania mahali pazuri mno,kwani anatutoa kwenye giza tunaenda kwenye mwanga.

Wale mapunguani wanaoota ndoto za 2020 waendelee kutoa kwani hawakatazwi lakini hapa Magufuli Rais ni mpaka 2025 na kauli mbiu ya Wananchi huko mtaani ni MAGUFULI USHINDI TENA 2020.
Naunga mkono hoja acha nao wapuuzi wachache jitaidi kujitoa Akili hivyo hivyo teuzi bado zipo nyingi na bado kijana ww ipo siku utapata japo ukuu wa wilaya...

Mkuu umefanya vema kutoa namba yako ya simu ili kama kuna lolote ujulishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuko pamoja
Genge la wahuni lazima tuendelee kulisamabratisha mpaka wasome number kwa kirumi walahi
Upinzani uchwara tu, piga chini
 
Back
Top Bottom