ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.
Hata utani au mifano hataki
1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini
2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno
3. Gwajima akamtolea mfano ati vipi akitobolewa macho
Kwa hatua za awali atafukuzwa chamani hatujui ni hatua zipi zitafuata kwa Gwaji boy
Someni alama za nyakati achaneni na Abduli, ongeleeni vingine