Ukimgusa Abduli, umemgusa mama

Ukimgusa Abduli, umemgusa mama

Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.

Hata utani au mifano hataki

1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini

2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno

3. Gwajima akamtolea mfano ati vipi akitobolewa macho

Kwa hatua za awali atafukuzwa chamani hatujui ni hatua zipi zitafuata kwa Gwaji boy

Someni alama za nyakati achaneni na Abduli, ongeleeni vingine
Huyo Abdul we unamfahamu ht kwa sura? Lissu ni mzushi, mwongo, mropokaji mnaishi kwa mambo ya kusadikika. Nyie ni mazombie yasiyo na haya
 
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama. Hata utani au mifano hataki 1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini 2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno 3. Gwajima akamtolea mfano ati vipi akitobolewa macho Kwa hatua za awali atafukuzwa chamani hatujui ni hatua zipi zitafuata kwa Gwaji boy Someni alama za nyakati achaneni na Abduli, ongeleeni vingine
 
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.

Hata utani au mifano hataki

1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini

2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno

3. Gwajima akamtolea mfano ati vipi akitobolewa macho

Kwa hatua za awali atafukuzwa chamani hatujui ni hatua zipi zitafuata kwa Gwaji boy

Someni alama za nyakati achaneni na Abduli, ongeleeni vingine
Je ukimgusa mdude
 
Weka picha ya Abduli niona anakitu gani hasa kinachofanya alindwe kama mboni ya hicho.
 
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.

Hata utani au mifano hataki

1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini

2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno

3. Gwajima akamtolea mfano ati vipi akitobolewa macho

Kwa hatua za awali atafukuzwa chamani hatujui ni hatua zipi zitafuata kwa Gwaji boy

Someni alama za nyakati achaneni na Abduli, ongeleeni vingine
Kwa hiyo mtoto wa mama mdude ni jiwe?
 
Ila mnaua watoto wa wengine lakini wa kwenu akiguswa hamtaki, Abduli sio Mungu, siku yake yaja ya kulia na kusaga meno, msitutishe hata sisi tuna wazazi na wana uchungu na sisi kama yeye alivyo na uchungu na abduli
Labda abduli alishushwa kutoka mbinguni akiwa kwenye boksi la almasi hajatokea kwenye Khuma kama wanavyo zaliwa wengine
 
FB_IMG_1748769554816.jpg
 
Fanya vyote kosoa, tukana ila usijaribu kumgusa kipenzi cha mama.

Hata utani au mifano hataki

1.Lisu alimwandama Abduli ati alimpelekea furushi la pesa kama hongo, Sasa yupo Ukonga na kesi mbaya ya uhaini

2 Bon yai alithubutu kuropoka kilichomkuta, saiv amepoa mno

3. Gwajima akamtolea mfano ati vipi akitobolewa macho

Kwa hatua za awali atafukuzwa chamani hatujui ni hatua zipi zitafuata kwa Gwaji boy

Someni alama za nyakati achaneni na Abduli, ongeleeni vingine
IMG_1473.jpeg
 
Back
Top Bottom