Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Kuna kijana mmoja asubuhi ya leo pale Manzese alikua na gari Vista T272DDF. Nimemsamehe bure kama atasoma hapa ama kama kuna mtu anaifahamu hio gari tell him Nimemsamehe tu, sikufungua hata kioo kumjibu ila Nimemsamehe, Sikutaka yampate makubwa
Labda amegongwa kwa nyuma..........Kulikoni mpwa?Amekufanyaje?
Kulikoni mpwa?Amekufanyaje?
Niliamua kukaa kimya tu, kimya kinaepusha mambo mengi sana sana, niliamua kuwa mjinga akajiona mshindi yeye hadi yule kijana wa kirukuu alimshangaa na nusura agongwe na huyo kijana wa kirikuu maana alikasikirishwa na ujinga aliokuwa ananifanyia.Pole sana mpwa Elli si ajabu alikuwa tayari kichwani ana viroba vya kutosha au basi tu ubabe wa barabarani.Sometimes kuna mambo tu unaacha yapite hongera kwa kuzuia hasira zako