Ukimfumania mwenzi wako nyamaza

Kama weye unataka ishi hivyo haya shauri yako. Eti usipige kelele kwani wote wanaiba nje ni kuwa wanakasoro? Kaa na hiyo theory yako na wafuasi wako. Acha mie nifanye yangu
 
siku mkiachana hata kama ni kimya kimya mwenzako atatoa siri kwamba yeye ndo chanzo cha mahusiano kuvunjika na alifanya hivo kutokana na madhaifu yako
 

Kama huna hatia katika uzinzi bila shaka utapiga kelele tu! Lakini kama na wewe ni mzinzi ukimfumania mwenzio kaa kimya maana watakuja hata wale ambao tayari umezini nao, watakushangaa kwa nini umepiga kelele wakati na wewe ni mzinzi tu, utakapowaona lazima dhamiri itakushitaki!
 
aaa wapi mbn hyo itakua ngumu yn.. labda ka mtu hauna roho.. but ktk hali ya kawaida lzm kdg utawaka..
 
Omonilee
 
Naona kama hujui kufumania kukoje,ukiona tu sms ya mapenzi hujawaona wanafanya unahisi moyo unachomoka je ukiwaona live itakuwaje??hapo inabidi umuombe Mungu akuongoze kwenye maamuzi la sivyo unaweza fanya maajabu,pia mtu kutoka nje ya ndoa si kwamba haridhishwi wengine hata apewe wanawake tofauti wa sura,umbo,rangi 50 hataridhika sasa mtu kama huyo unamuongeleaje!! ni tamaa tu jamani
 
Huo ndio mpango mzima kwani hata ukilia haisaidii na hakuna unayemkomesha hivyo tulia kimya kama vile hujaona mkayamalize home au muachane juu kwa juu.
 
my friend did the same, hakusema kitu,.!! daah, demu hakuamini, alianz kuishi kwa woga, atlast akakimbia mwenyewe akaacha barua akiomba msamaha..!!
 
my friend did the same, hakusema kitu,.!! daah, demu hakuamini, alianz kuishi kwa woga, atlast akakimbia mwenyewe akaacha barua akiomba msamaha..!!

Naona kuna hoja hapa,hii pia inafanya kazi.
 
Kupiga kelele na kukusanya umati, NDIO. Kukaa kimya na kuuchuna, NDIO. Hasira hazipangwi, NDIO.
Litapokukuta lolote linaweza kutokea. Unaweza kuuchuna, unaweza kukimbia wewe mfumaniaji, unaweza kupigana a pengine kuua, unaweza kufanya lolote.

Uamuzi wowote utakaotoa utatoka kwenye bongo yako hapo hapo. Tukumbuke kuwa "kila mtu ni wa aina yake" wala hakuna ushauri utakaoufata. Laiti ingekuwa tu mtu anapata muda wa kutafakari, ingekuwa bora ili baadaye usijekuwa kichekesho kwa maamuzi ya haraka haraka, kama huyo bamkubwa aliyewatimua u.c.h.i wa nyama wagoni wake na bado baadaye akarudiana na mke wake. Looooooh, Mungu ayapishie mbali!
 
Ushauri mwingine kama nguvu za giza
Kwanza niambie kama wewe una mwenza na kama unaye kweli hapa tunaweza kuongea
Siwezi sema Kwa nini eeh,tulitengana na yeye eeh, siwezi sema Sababu eeh, Mapenzi yangu naye yalikuwa ya Ajabu....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…