Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,565
Ukimfanya mwanaume kitega uchumi lazima utaona anakuboa, lakin ukimfanya ni mpenzi anaetafuta kwa shida ambae anahitaji Pole na kuhurumiwa katika kazi zake kamwe hutoona kama anakukera.