The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,853
Nyani wawili unapewa mke! Ungezama ndani ya tamaduni za hilo kabila ili kutuonesha kwa nini nyani anathaminiwa kiasi hicho.Sasa mleta thread umeniachia mshangao mkubwa na mastaajabu! Kwa nini nyani? Kwa nini isiwe mbuzi, kondoo, ng'ombe nk?Lete thread nyingine ya kueleza undani zaidi.Wadau, jana nilikuwa nilisikia kabila la waberbaig wao mahari ni nyani dume wawili...kiroho safi unapewa mke. Nilichojifunza usidharau tamaduni zisizozako....kwani kila jambo linathamani kubwa kwa jamii husika ingawa kwako laweza kuwa la kustajabisha ama kuchekesha.
#Heshimu tamaduni za wengine.
Wadau, jana nilikuwa nilisikia kabila la waberbaig wao mahari ni nyani dume wawili...kiroho safi unapewa mke. Nilichojifunza usidharau tamaduni zisizozako....kwani kila jambo linathamani kubwa kwa jamii husika ingawa kwako laweza kuwa la kustajabisha ama kuchekesha.
#Heshimu tamaduni za wengine.