Ukila mua Bar nini kinatokea ??

Ukila mua Bar nini kinatokea ??

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
3,034
Reaction score
4,269
Habari za Wakati huu Wazee

Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.

Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.

Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.

Nimeshangaa sana 😳😳😅😅😅. Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
 
Hahahaaa
 
,Yaan ata ungeenda na beer au kinywaji chako usingetakiwa hapo.
Jiongeze bro,bila shaka utakua msukuma wewe.
 
Habari za Wakati huu Wazee

Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.

Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.

Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.

Nimeshangaa sana 😳😳😅😅😅. Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
Wasukuma bhana sasa mua bar wanini 😂😂😂😂
 
DCCBE2DD-8935-4C8A-8C78-AF8D8E74F4E0.jpeg
 
Habari za Wakati huu Wazee

Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.

Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.

Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.

Nimeshangaa sana 😳😳😅😅😅. Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
Mkuu acha kuzingua ,muhimu wewe tuambie ulichoambiwa ,au tuhitimishe tu kuwa mmiliki wa Bar ni mshirikina?🤣
 
Mkuu acha kuzingua ,muhimu wewe tuambie ulichoambiwa ,au tuhitimishe tu kuwa mmiliki wa Bar ni mjinga?
Nimeambiwa hawaruhusu mtu Kula miwa kwenye Bar yao na sababu ni hiyo hiyo niliyoandika.
 
Back
Top Bottom