Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Ukikutana na simba ghafla, fanya haya..

Usiwadanganye kutafuta bahati inawezekana kwa jina la Yesu. Lakini kama unatembea porini beba fimbo fupi ngumu ikiwa atakushitukia akushambukie please do not panic tumia fimbo hiyo vizuri akiachama ingiza mdomoni kwake amekwisha atakimbia hageuki
 
Simba anajua kiumbe kilichokufa na kumbuka wewe kukutana na Simba sio bahati mbaya maana yeye ukiwa umbali Wa mail 2 anapata harufu yako vizuri tu na anaelewa ni binadamu yupo hapa kama hataki kukutana na wewe anabadili uelekeo tu.
Na bado ana uwezo wa kuona mbali zaid kuliko binadamu ata usiku bado anauwezo wa kuona mara 5 zaid ya binadamu ivo ni mnyama ambae kukutana nae sio bahat mbaya
 
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
ukikutana na NAMUNGO unafanyeje
 
Huu ushauri utasababisha mtu awe kitoweo kwa Simba bila sababu, wanyama wanakula nyama wana uwezo wa kusense kama mnyama ni hai ni mzoga. Hivi uliwahi ona simba wanapambana kumtoa kobe kwenye nyumba yake? Sasa jiulize inakuwaje simba wanakomaa nae hata dakika ishirini na Kobe katulia tuli na nyumba lake kalivaa! Kuna siku nilikuwa nawasikiliza kipindi cha wanyama pori, kuponea kwa simba ni umkute kashiba, ila kinyume kumkimbia ndio suluhu kwani huyu bila silaha ya kueleweka tena na ujasiri huwezi kumuua.
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
 
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Nimecheka nikawaza hivi naanzaje kufanya haya nikiwa mbele ya mnyama simba.
 
Mzee umekariri tu Simba anakula mzoga vzr tu na hasa hasa ukikutana na wale ambao hawako katika familia madume vijana na madume wazee waliopinduliwa maana wale ni wazurulaji wanakula chochote kile .
Research your fact mzee baba
 
hahahaha, ungelijua wanyama wanao uwezo kunusa na kugundua kama ichi kiumbe kinapumua, kina damu mbichi ama la,.usingeongea hayo. hata hivyo jua kuwa sio simba wote hawali mzoga, simba yeyote ambaye njaa imemshika na hakuna mawindo yanayoonekana karibu, anagombania mzoga hadi na fisi.
Ana kariri huyu!ogopa sana simba mzee kijana sana au mgonjwa atakurestisha in trouble in no time ukijifanya umekufa
 
Kaka simba ni shughuli nyingine, Jamaa mwenye gari alimuona Simba kalala barabarani, jamaa akajifungia ndani kimya akawa anasubiri matokeoView attachment 457066

Jamaa wa Bodaboda akaona jamaa kapaki njianai na anamuwekea usiku, akaja na maspeed yake akaipita gari, kutaamaki uso kwa uso na Mzee wa pori, na mwili wa Bianadamu ulivyo hata kama ulikuwa hujapata choo wiki nzima hapo lazima kitoke kitu laini kabisa, inawezekana jamaa alienda kuitupa suruali mbele ya safari
View attachment 457068

Mpaka mzee anasimama bodaboda alishatokomea kwenye mapori
View attachment 457069
Hapo dereva wa gari angeshuka alale kifudifudi hahahaaa
 
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
Hayo ni maandishi tu !!! Kiuhalisia haiwezekani !!!
Kaka simba anatisha asikwambie mtuu!!
Nyati ni mjeuri sana ila akimuona simba anachanganyikiwa kabisa kabisa
 
Mwaka 1989 nilokua darasa la sita ilikua likizo maeneo ya same karibu na mbunga ya mkomazi ( tunapaita reserve) nilimpa babu kampani ya kuchunga nakumbuka ilikua siku ya jumamosi lilikua kundi kubwa la ngombe zilichanganyika zetu na za watu wengine wengi hasa wamasai ! Nilikua nadikiliza radio ndogo sanyo kbc( kenya radio)
Gafla Ngombe walichanganyikiwa nakuanza kukimbia hovyo hovyo kiasi kwamba akikukumbu hutakua salama ,mimi nilikua chini ya mti kivulini .
Gafla babu akapeka kelele na kutaja jina langu na kuniambia ..............kimbia au panda juuu ya mti simbaaaaaa simbaaaa simbaaaaa !!!!!aisee nilivurugwa kwakua mm nilikua cjui niende wapi kwakua simba simwoni vijana wa kimasai siwaoni ! Basi amekua " selemani nyambui" Rip babu daaaah kulikua na mti uaofaa kupanda ( mgunga) accacia una miba sana ila sikuisikia nikapanda !!! Sasa nikaona namba simba kama watatu wanavyopambana na dume kubwa la ngombe!! Aisee haikua kazi Rahisi jamani ,niliogopa nikafunga macho kabisa niliamini simba ataniona nisipofunga macho!!!
Baada ya muda walikuja jeshi la morani zaidi ya 30+ !!!
Kiukweli sikuhizi hakuna masai sampuli niliyoiona ni warefu sana wana mikuki ngao na magobole cha ajabu wengine walikua uchi yaaani rubega imevutwa kutoka chini imefungwa kiunoni na mabegani yaaani wanatoa milio sio ya kawaida simba kabla hawajamaliza mlo walilazimika kukimbilia kichakani kwa ule mziki wa kimasai ( aisee mmasai akibadilika simba anaogopa ) .
Mimi nikiwa juu ya mti nikapiga kelelw za kuomba msaada wakaniona wakaja karibu nikashuka wachache walikua wanajua kiswahili !! Cha kwanza nilitaka kwenda home tuuu wakanizuia !!! Nikawaonesha simba walipo ( chaka walilokimbila)wakawafata baada ya muda nikasikimbia milio ya gobole na watu waliopandisha mori!!! Ni hali ya kuogofya sana ,in short simba anatisha sana sana !!! Muda mfupi babu na kundi la wanakujiji wakaanza kuja kunitafuta wakanikuta nipo na baadhi ya wamasai niliapa ctaenda kuchunga tenaa!!!kwa nilichokiona .kale karedio nafikiri mchwa watakua walikila sikujua kilipo angukia!!! Achana na simba
 
Title ya huu Uzi inawakimbiza sana wanaNCHI! [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeufungua kwenye Daladala la keko wananchi walikuwa wamjraa[emoji23][emoji23] hapa nageuka naona nimebaki mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1241][emoji881]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 1989 nilokua darasa la sita ilikua likizo maeneo ya same karibu na mbunga ya mkomazi ( tunapaita reserve) nilimpa babu kampani ya kuchunga nakumbuka ilikua siku ya jumamosi lilikua kundi kubwa la ngombe zilichanganyika zetu na za watu wengine wengi hasa wamasai ! Nilikua nadikiliza radio ndogo sanyo kbc( kenya radio)
Gafla Ngombe walichanganyikiwa nakuanza kukimbia hovyo hovyo kiasi kwamba akikukumbu hutakua salama ,mimi nilikua chini ya mti kivulini .
Gafla babu akapeka kelele na kutaja jina langu na kuniambia ..............kimbia au panda juuu ya mti simbaaaaaa simbaaaa simbaaaaa !!!!!aisee nilivurugwa kwakua mm nilikua cjui niende wapi kwakua simba simwoni vijana wa kimasai siwaoni ! Basi amekua " selemani nyambui" Rip babu daaaah kulikua na mti uaofaa kupanda ( mgunga) accacia una miba sana ila sikuisikia nikapanda !!! Sasa nikaona namba simba kama watatu wanavyopambana na dume kubwa la ngombe!! Aisee haikua kazi Rahisi jamani ,niliogopa nikafunga macho kabisa niliamini simba ataniona nisipofunga macho!!!
Baada ya muda walikuja jeshi la morani zaidi ya 30+ !!!
Kiukweli sikuhizi hakuna masai sampuli niliyoiona ni warefu sana wana mikuki ngao na magobole cha ajabu wengine walikua uchi yaaani rubega imevutwa kutoka chini imefungwa kiunoni na mabegani yaaani wanatoa milio sio ya kawaida simba kabla hawajamaliza mlo walilazimika kukimbilia kichakani kwa ule mziki wa kimasai ( aisee mmasai akibadilika simba anaogopa ) .
Mimi nikiwa juu ya mti nikapiga kelelw za kuomba msaada wakaniona wakaja karibu nikashuka wachache walikua wanajua kiswahili !! Cha kwanza nilitaka kwenda home tuuu wakanizuia !!! Nikawaonesha simba walipo ( chaka walilokimbila)wakawafata baada ya muda nikasikimbia milio ya gobole na watu waliopandisha mori!!! Ni hali ya kuogofya sana ,in short simba anatisha sana sana !!! Muda mfupi babu na kundi la wanakujiji wakaanza kuja kunitafuta wakanikuta nipo na baadhi ya wamasai niliapa ctaenda kuchunga tenaa!!!kwa nilichokiona .kale karedio nafikiri mchwa watakua walikila sikujua kilipo angukia!!! Achana na simba
Mkuu ndio sisi wamasai tusiogopa simba
 
Simba Ni Mnyama Msafi Sana Kama paka! Ukikutana naye wewe chafua chakula chake (shusha haja ya wiki nzima) halafu kaa hapo kishari Shari.. hali vitu vichafu na visivyo na adabu.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hhhhhh

Ushauri wangu kwako
Tengeneza clip kisha tutumie kwa ajili ya elimu zaidi

Maana sijaelewa somo hili
Uwapo porini au sehemu yoyote ya wazi, halafu ghafla ukamwona simba (akiwa amekupa mgongo) na wakati yeye akiwa hajakuona na wakati huo ukijua kabisa muda wowote atakapogeuka anakuona, LALA KIFUDIFUDI!

Simba atakapogeuka na kuona umelala, atakusogelea na kuanza kukugusa-gusa kwa miguu yake na masharubu. Jikaze tu usitikisike.Kwa kufanya hivyo, atafikiri wewe n mzoga, na simba halagi mzoga, anakula fresh kitu kinachotoa damu!

Atakaa hapo pembeni yako kwa muda kadhaa akiwa kama anakusubiria,we jikaze tu, usikohoe,kupiga chafya, kujigeuza au kucheka!

Baadae taratibu ataanza kuondoka zake, huyoooo...
Kwa jicho la wizi, unamcheck tu taratibu akiwa anatokomea,akishapotea mbali, unanyanyuka zako na kwenda zako nyumbani huku nguo yako ikiwa imelowana...
 
Simba achana nae nilimuona Saba saba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lakini alipokuwa kwenye banda tu hizo Biti zake acha kabisaa na lile dume urefu wa binadamu kabisaa that is a kiliing machine..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom