Uhusiano upi? Ni hatari kwa uchumi wako kwa wale wenzangu na mimi tunaojitafuta.Hii ni hatari sana kwa ustawi wa kudumisha uhusiano.
shi shi shiiiii huo ni ulinzi tunaboresha, kufukuza takataka mbali na uso wa tongozo 🤣 🤣 we hujawahi tongozwa na vitu vya ajabuKwahiyo unamaanisha wadada wote wa kwenye mwendokasi tuna tabia hizo? Ni huyo mmoja tu usituharibie wote😀 hivi unaanzaje kupiga kibomu day 1 hata mtongozo haujakolea vizuri? Aah hapo wadada tunazingua
Hahhaa kwahiyo unapiga kibomu heavy ili akimbie mapemaa ah dhambi sana😀shi shi shiiiii huo ni ulinzi tunaboresha, kufukuza takataka mbali na uso wa tongozo 🤣 🤣 we hujawahi tongozwa na vitu vya ajabu
Bora iwe hivyo kuliko kumkatili na lugha kali mwisho akakuroge 🤣 🤣 unampa vizinga heavy aje kulia lia humu kama hivi kwisha habari yake 🤣🤣🤣Hahhaa kwahiyo unapiga kibomu heavy ili akimbie mapemaa ah dhambi sana😀
Kuna muda huwa nahisi stories zingine ni za kutunga au kama ni kweli hao wanawake basi hawana akili sawa sawa. Mtu hamna hata mazoea hata namba hujaomba aanze kulia shida jamani kweli?
Mimi ni mwanaume na naamini kuwa story zote za wanaume za humu jf za kuombwa hela mda mfupi baada ya kutongoza ni za kweli.Kuna muda huwa nahisi stories zingine ni za kutunga au kama ni kweli hao wanawake basi hawana akili sawa sawa. Mtu hamna hata mazoea hata namba hujaomba aanze kulia shida jamani kweli?
Mwanaume wa ajabu anaekutongoza ndo anakuaje? Raine Colshi shi shiiiii huo ni ulinzi tunaboresha, kufukuza takataka mbali na uso wa tongozo 🤣 🤣 we hujawahi tongozwa na vitu vya ajabu
Mimi ni mwanaume na naamini kuwa story zote za wanaume za humu jf za kuombwa hela mda mfupi baada ya kutongoza ni za kweli.
Wanaume tunaotafuta wake za kuoa, mara nyingi tunakutanaga na tabia za vituko we acha tu Kelsea
Mambo Mrs bui bui 🤓Kuna muda huwa nahisi stories zingine ni za kutunga au kama ni kweli hao wanawake basi hawana akili sawa sawa. Mtu hamna hata mazoea hata namba hujaomba aanze kulia shida jamani kweli?
Poa. Niaje mzee?Mambo Mrs bui bui 🤓
Mzee nani, hebu kwenda na u bui bui wako🤣🤓Poa. Niaje mzee?
Si wewe hapo 😸Mzee nani, hebu kwenda na u bui bui wako🤣🤓
Is because anakuona kama atm from first meeting, hii ina translate kuwa ni dharau na nafasi yake kwako. Kama mwanaume unatupa mbaliOi mko murua wadau?
Kwahali hii wanaume tuna safari ndefu sana hapa duniani.
Kumekua na tabia ya kushangaza sana aisee, unakutana na mdada unaomba mbadishane namba, kabla ya kumweleza nia yako ya kutaka namba yake, anakuvamia na mizinga mikali balaa.
Hujamwabia kama unamtaka ila yeye anajiongeza juu kwa juu, mara sina gas, nadaiwa pango miezi mitatu, hujakaa sawa
unga umeisha, kiufupi ni balaa zito ani mpaka ukikutana na wengine unawaona kama gari la kubeba mafuta vile.
Hii ni hatari sana kwa ustawi wa kudumisha uhusiano.
Sisi mwanaume akituomba namba tunajua mnachokitaka ndiomana tunawapa shida zetu mzitatue 🤣🤣🤣🤣