Ukikosa wateja utasema umelogwa?

Ha hahahah!
Pale panapoitwa Simba kapakatwa siendi hata kama kuna kilaji cha promosheni
 
G.W.Bush angeiona hii hotel angeisambaratisha mara kwa mabomu
 
Na tangu lini mlevi akawa na nafasi ya kuyawanza yote hayo?? Kwake chupa ipo basi, jina si issue!
Mmmh kuna ukweli fulani.
Ila wanywaji (drinkers) hutawaona hapo!!
Walevi (alcoholics) hawa ndo huwa hawajali kitu, wao ni pombe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…