The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,259
- 16,182
Wajamaa wanarusha nyavu kimya kimya kumbeKimeumana๐๐๐
ImemchanganyaUsidanganyike na Profile pic yangu.
๐ ๐Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
Hahahaha tena warusha nyavu nahisi hawana kelele mingi jukwaani ๐คฃWajamaa wanarusha nyavu kimya kimya kumbe
Hapo nimekusoma,kuna mchizi nasikia alienda PM kwa waziri akarusha mawe hatarii.Hahahaha tena warusha nyavu nahisi hawana kelele mingi jukwaani ๐คฃ
Waziri ni cheo tu bwashee, mapenzi ni mapenzi tu, binafsi naona ya pm yaishie huko pm tu๐คHapo nimekusoma,kuna mchizi nasikia alienda PM kwa waziri akarusha mawe hatarii.
AiseeHapo nimekusoma,kuna mchizi nasikia alienda PM kwa waziri akarusha mawe hatarii.
Verifaidi yuza wote njooni hapa nawaita mbwa nyie kwann mnamsumbua mrembo Nusrat? ๐น๐น
Hamjui kukataliwa? Hivi Vincenzo Jr si verifaidi huyu? Si yeye kweli?
Hebu wataje tuwasuuze mahi..!! ๐คฃ
Mi napenda umbea motroo motroo km huu jamani..!!
Majirani huku ๐คฃ๐น๐น
Wewe tenaVerifaidi yuza wote njooni hapa nawaita mbwa nyie kwann mnamsumbua mrembo Nusrat? ๐น๐น
Hamjui kukataliwa? Hivi Vincenzo Jr si verifaidi huyu? Si yeye kweli?
Hebu wataje tuwasuuze mahi..!! ๐คฃ
Mi napenda umbea motroo motroo km huu jamani..!!
Majirani huku ๐คฃ๐น๐น
Nahusika vipi sasa kwenye watu kuombana piemuni huko?Kwa mujibu wa tafit mdogo nilizofanya naona wewe unahusika.
๐ ๐Hiyo I'd picture uliyoweka na maneno uliyoyaandika hayaendani , picha imekaa kibiashara au ndo unaitangaza kwa njia hiyo?
Si nasikia unataka ummpe Kaka yako.Nahusika vipi sasa kwenye watu kuombana piemuni huko?
Yeaaahhh ๐น๐น๐นWewe tena
Kaka yupi? ๐นSi nasikia unataka ummpe Kaka yako.