Ukikataliwa Pm, hasira usilete Jukwaani

Nusratt

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
1,707
Reaction score
4,193
Naona hii tabia imeota mizizi sasa.

Si kila mwanamke yuko humu JF kutaka mapenzi.

Usidanganyike na Profile pic yangu.

Ukikataliwa kausha na sio kutwa kucha ku-dislike comments au nyuzi zangu.
Nadhani ushajijua.

Hata uki-dislike hunizidishii wala kunipunguzia uhai.

Nakutoa kwenye ignore list ili uione hii post.
Najua na post hii utakuja ku-dislike.

Uki-dislike, nakusanua ili wanaokuona wa maana wakushushe thamani.

Halafu unajiita msomi na bage yako ya verified hiyo!
 
Ngoja niwape dedication kabisa 📷 VIJANA BARUBARU FT NANDY _ SASA HIVI
 
Wee utakuwa dume tu unatuchora
 
Dislike button
 
Njoo huku watu wameanza kutoa mapovu Ma Mshuza
 
Waje niwape uzoefu WA kula vibuti PM nakukaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…