Ukikataliwa kwenu ni laana

Ukikataliwa kwenu ni laana

Bavicha at its best!

Unatoa mfano wa kwenye Biblia wakati hufahamu kama Yesu alikataliwa na Wayahudi.

Unatoa mifano ambayo inaonyesha hufahamu kama Mwl. Nyerere aliacha Butiama haina maji na Umeme wa kutosha baada ya kukaa madarakani kama Rais wa Tanzania kwa miaka zaidi ya 20.

Ulitaka Magufuli aibe miradi na pesa za serikali ili apeleke Chato.

Kwa akili hizi, haishangazi kwenu fisadi ndiye mgombea Urais

Anakataliwa kwa kuwaambia kama wanataka barabara za lami,basi wa.ye ma.v then wakapake barabarani iwe lami.
Anakataliwa kwa kuwaambia wana Kigamboni,asiye na mia mbili ya kulipia kivuko,apige mbizi.
 
Kwakweli sasa nimefikia conclusion kwamba, Magufuli hata angekuwa na rangi zaidi ya zile za kinyonga, hawezi kuwa Rais wa hii nchi. Nasema hivyo si kwa ushabiki bali kwa uhalisia wa hali halisi ilivyo. Jana tumeona kilichotokea kule Chato/Geita wananchi wamemkataa Magufuli hadhari huku wengine wakiomba kabisa kwa kelele ili azomewe na UKAWA.

Jamani tuacheni kufarijiana uongo, pamoja na fiesta anazofanya Magufuli za bure akiwa katika mikutano yake ni dhahiri kabisa kwamba hatokua Rais...kwanza mtu ambaye hata mke wake amekataa kuambatana naye japo kuwa zimefanyika jitihada za kutosha kumshawishi lakini hataki, labda akiingilia kati mama nyerere atasaidia..any way hayo ya mtu na mkewe tuyaache japo yanatuhusu maana ni hatima ya mama wa taifa endapo pombe angeshinda lakini sasa kwa sababu mazingira yamekataa...basi tena.

Kwa wakiristo watakubaliana na mimi kwamba imeandikwa katika bibilia takatifu kwamba, asiyejali watu hasa wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko asiye amini. Magufuli ni mbaya kuliko hata tunavomchukia..

Tanzania mwaka huu lazima iokoke kutokana na tabu na mateso ya miaka hamsini na sio magufuli wa kutusaidia bali Lowasa.....ninapotafakari na kufungua sana macho namuona Lowasa akiwa na dhamiri kamili ya kumnsaidia mtanzania...kwa sababu: kwanza amesemwa sana vibaya, hivyo lazima afanye kila jitihada kuuhakikishia uma wa watanzania kuwa, yeye ni mtu mwema mwenye mapenzi mema...kiukweli tukiacha mihemko Lowasa atatusaidia
Ukawa ni wajinga sana! Sasa zile ndo kura? na unajua wengine walifika pale kwa makusudio gani?
Kamda ya ziwa Ukawa sahauni! Mtajitutumua Arusha mjini, mbeya mjini, vunjo na Hai labda!
 
yesu alikataliwa akiwa ametenda mema kwao...Tuambie wewe mbishi Pombe kafanya nini kwao?
 
dah!!!
 
Attachments

  • 1442493902239.jpg
    1442493902239.jpg
    46.6 KB · Views: 168
  • 1442493947864.jpg
    1442493947864.jpg
    78.4 KB · Views: 171
yesu alikataliwa akiwa ametenda mema kwao...Tuambie wewe mbishi Pombe kafanya nini kwao?

Lowasa kafanya nini Monduli? Nyumba za tembe kibaao, maji shida na yeye alikuwa waziri wa maji! Alikula hela za jengo la ofisi za bunge na hakufanya lolote! Acheni ujinga! Hizo propoganda zenu za kumchafua magufuli tunazo taarifa na mipango yote mliyoaandaa, Magufuli hachafukiii! Hapa KAZI TUUU!
 
Anakataliwa kwa kuwaambia kama wanataka barabara za lami,basi wa.ye ma.v then wakapake barabarani iwe lami.
Anakataliwa kwa kuwaambia wana Kigamboni,asiye na mia mbili ya kulipia kivuko,apige mbizi.
Hujasoma hata mantiki ya hoja, unakimbilia kujibu.

Hizi ni akili za kibavicha.

Hiki unachokisema kina uhusiano gani na mada achilia mbali quote yangu.

Hovyo...
 
Fisadi lowasa labda atamsadia babaako kazi sio sisi. Propaganda za kitoto kabisa.

Sio vizuri kutukana. Leta hoja zako kupinga alichosema. Lakini inabidi nikukumbushe kuwa waswahili husema ukweli unauma na ukweli ndio huo "CCM is dead".
 
yesu alikataliwa akiwa ametenda mema kwao...Tuambie wewe mbishi Pombe kafanya nini kwao?
Wewe ndiyo ungetueleza huyu Lowassa unayedai anakubalika na hana laana amefanya nini Monduli akiwa mbunge kwa miaka zaidi ya 30 na Waziri Mkuu wakati wananchi wake bado hawana hata vyoo achilia mbali kuishi kwenye nyumba za tembe.

Hizi ni akili za kibavicha.
 
Watu wa Chato sio Wakabila wala Wabaguzi. Wameonyesha ukomavu wao Kidemokrasia. Subiri Magufuli apite tufanye tathmini, ni haki yako kuwasikiliza wote.
 
kama tungekuwa hatujaona wenyewe kwa macho yetu ungeweza kutudanganya lakini kwakuwa tumeona kamdanganye fisadi Lowasa na wajinga wengine.

Mimi nilikuwa Geita na balaa la Lowassa litarudiwa.Cha ajabu kibaya kimeanza kujitembeza maana nimeona mabango yakiandaliwa kila kona kwa ajili ya kubandika picha za J Beer Mapadlock.Nadhani hata mafuso yatakuwa yameanza kupata order.
 
Ulitaka Magufuli aibe miradi na pesa za serikali ili apeleke Chato.
Kama aliweza kupata mabilioni ya kutengeneza barabara hadi kijiji cha Samunge kwa babu wa kikombe, je kwa nini kwao alipasahau? Naona yupo jamaa hapa ananiambia baada ya madawa kukosekana mahospitalini, viongozi wakuu wa CCM na serikali walikipa kipaumbele kijiji hicho ili waweze kufika kubugia kikombe cha babu. Kwenye picha hapa chini Magufuli anaonekana akipata matibabu kijijini Samunge.

attachment.php

Lowasa kafanya nini Monduli? Nyumba za tembe kibaao, maji shida na yeye alikuwa waziri wa maji! Alikula hela za jengo la ofisi za bunge na hakufanya lolote! Acheni ujinga! Hizo propoganda zenu za kumchafua magufuli tunazo taarifa na mipango yote mliyoaandaa, Magufuli hachafukiii! Hapa KAZI TUUU!

Teh teh.Pole sana maana maumivu ya sindano ya ng'ombe ndivyo yalivyo jitahidi tu kutuliza tako ili iingie na dawa imiminike vizuri ndugu mgonjwa wa mabadiliko.
 
Kama aliweza kupata mabilioni ya kutengeneza barabara hadi kijiji cha Samunge kwa babu wa kikombe, je kwa nini kwao alipasahau? Naona yupo jamaa hapa ananiambia baada ya madawa kukosekana mahospitalini, viongozi wakuu wa CCM na serikali walikipa kipaumbele kijiji hicho ili waweze kufika kubugia kikombe cha babu. Kwenye picha hapa chini Magufuli anaonekana akipata matibabu kijijini Samunge.
Hoja yako hapa ni nini?

Ulitaka akajenge barabara Chato wakati kuna maelfu ya wananchi wengiwao wakiwa wagonjwa mahututi walikuwa wanahangaika na usafiri kutokana na barabara kuelekea Samunge kutokuwa nzuri.

Magufuli alifanya kile ambacho Wizara yake ilitakiwa ifanye kutokana na msongamano wa watu waliokuwa wakielekea Samunge wakati miundo mbinu ya barabara haikuwa inakabiliana na wimbi la wananchi waliokuwa wanaelekea huko.

Hii inaonyesha jinsi ambavyo anajari taifa kwa maana ya vipeuo vya wakati uliopo na ujao.

Kwa fikra za aina yako, ndiyo maana kwa sasa mnadhani ufisadi ni moja ya sifa ambayo inaweza kumwingiza fisadi Ikulu.
 
Kama mkewe mwenyewe hamsapoti sisi tutamsapoti vipi bana. Na hao wanaompigia debe hawawezi kusoma hata picha tuu
 
Back
Top Bottom