Kwakweli sasa nimefikia conclusion kwamba, Magufuli hata angekuwa na rangi zaidi ya zile za kinyonga, hawezi kuwa Rais wa hii nchi. Nasema hivyo si kwa ushabiki bali kwa uhalisia wa hali halisi ilivyo. Jana tumeona kilichotokea kule Chato/Geita wananchi wamemkataa Magufuli hadhari huku wengine wakiomba kabisa kwa kelele ili azomewe na UKAWA.
Jamani tuacheni kufarijiana uongo, pamoja na fiesta anazofanya Magufuli za bure akiwa katika mikutano yake ni dhahiri kabisa kwamba hatokua Rais...kwanza mtu ambaye hata mke wake amekataa kuambatana naye japo kuwa zimefanyika jitihada za kutosha kumshawishi lakini hataki, labda akiingilia kati mama nyerere atasaidia..any way hayo ya mtu na mkewe tuyaache japo yanatuhusu maana ni hatima ya mama wa taifa endapo pombe angeshinda lakini sasa kwa sababu mazingira yamekataa...basi tena.
Kwa wakiristo watakubaliana na mimi kwamba imeandikwa katika bibilia takatifu kwamba, asiyejali watu hasa wa nyumbani kwake ni mbaya kuliko asiye amini. Magufuli ni mbaya kuliko hata tunavomchukia..
Tanzania mwaka huu lazima iokoke kutokana na tabu na mateso ya miaka hamsini na sio magufuli wa kutusaidia bali Lowasa.....ninapotafakari na kufungua sana macho namuona Lowasa akiwa na dhamiri kamili ya kumnsaidia mtanzania...kwa sababu: kwanza amesemwa sana vibaya, hivyo lazima afanye kila jitihada kuuhakikishia uma wa watanzania kuwa, yeye ni mtu mwema mwenye mapenzi mema...kiukweli tukiacha mihemko Lowasa atatusaidia