Ukikamatwa na kosa unapokwa pointi kwenye leseni yako

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nimeona kushare nanyi mkakati mpya wa kupunguza ajali na kudhibiti madereva wazembe

KANUNI MPYA BARABARANI-JIHADHARI

Kama Umegundua Askari wa Usalama Barabarani Kwa Kutumia Mashine Mpya za Kieletroniki, Wameanza Utaratibu Mpya wa Adhabu Amapo Ukikamtwa na Kuingizwa Kwenye Mfumo Leseni Yako Itakatwa Alama/Point Kuanzia 1-3 Kutegemea na Kosa Ima la Mwendo Kasi ama Ubovu wa Gari ama Ulevi.........Kumbuka Kila Dereve ana alama 15 na zitapungua kadri ya makosa, makosa makosa ya alama 1 yakifika Kumi Utafungiwa Miaka miwili na Ukirudia tena baada ya adhabu hiyo leseni yako inakua invalid na kugongwa X KUUUUBWAA...HII NI KATIKA KUDHIBIT AJALI NA UZEMBE cum Recklessness na hasa ulevi wenye pointi 3

tujadili
 
Nimeona kushare nanyi mkakati mpya wa kupunguza ajali na kudhibiti madereva wazembe ambapo kwa sasa ukiandikiwa tu kwenye mashine maana yake unaondolewa pointi kwenye leseni yako na baada ya makosa kadhaa unafungiwa miaka m

tujadili
Duh kwa tulivyo madereva wengi wa Tz ninaona dalili ya magari mengi kupaki kwa kukosaa madereva kwani wengi ni wavunja sheria
 
Nimeona kushare nanyi mkakati mpya wa kupunguza ajali na kudhibiti madereva wazembe ambapo kwa sasa ukiandikiwa tu kwenye mashine maana yake unaondolewa pointi kwenye leseni yako na baada ya makosa kadhaa unafungiwa miaka m

tujadili

Ingawaje naunga mkono hilo swala lkn nafikiri wameanzia mbele, kwangu mimi nafikiri wangeanza kuhakikisha kila anayepata leseni kweli anastahili kuwa nayo, kuna watu wengi sana wana leseni TZ wamezipata kimagumashi na hawajui chochote khs Sheria za br, hivyo tungeanzia hapo kwanza!
 
Na unga mkono hoja maana unakuta mtu anafanya mambo yaajabu barabaran unajiuliza uyu kweli dereva
 
Ingawaje naunga mkono hilo swala lkn nafikiri wameanzia mbele, kwangu mimi nafikiri wangeanza kuhakikisha kila anayepata leseni kweli anastahili kuwa nayo, kuna watu wengi sana wana leseni TZ wamezipata kimagumashi na hawajui chochote khs Sheria za br, hivyo tungeanzia hapo kwanza!
Leseni ni ushahidi kwamba unaweza ku drive unataka nin tena!!
 
Back
Top Bottom