Ukikaa Baa za uswazi kuna vituko sana!

Ukikaa Baa za uswazi kuna vituko sana!

Diclopa ya kuchua ndo ikoje jamani wadau embu nisaidieni na mi niijue iyo huenda siku nyingine ikanisaidia wadau
Diclofenac-1.jpg

Hako hapo hadi picha inajieleza
 
Jamaa kaenda grocery na kidemu cha uswazi, Nia yake akileweshe kile kidemu alafu akigonge, Lahaula kumbe kidemu ni kilevi balaa.

Walianza kunywa Konyagi kubwa, wakamaliza kidemu hata hakipepesi macho, jamaa akaagiza balimi nne nne wakamaliza jamaa akaanza kulewa , akaona ili amalize mchezo akachukua konyagi ndogo akapiga mafunda kadhaa akazima.

Kile kimanzi kikamalizia ile konyagi alafu kikamfokoa jamaa wallet na simu kikapita hivi. Jamaa kuja kuzinduka hana simu wala wallet
 
Siku hizi utakuwa unakunywa kwa adabu sana. Tumekuelewa mkuu.
 
Yaaani nimecheka mpaka nimeona nifanye kushare na ndugu zangu wa umu

Fikiria nimeenda kwenye kabaa fulani cha uswazi sasa mimi ni aina ya wale watu nikiendaga sehemu nakuwaga sina shobo na wadau ninaowakuta kwenye hayo maeneo asee yaani waga ni mikausho mikali na mpaka nije kumzoea mtu inachukua muda kidogo

Basi bhana nimefika nikakaa zangu kaunta nikaagiza mnyama vant na walter soda basi niko napiga zangu mdogo mdogo maana mimi nimezoeaga vilaini kiasi basi so kuja kummaliza huyu mnyama inanichukuaga muda mrefu sana coz nakunywa taratibu mno

So wakati naendelea zangu kupiga huo mzigo kumbuka hapo kaunta nimewakuta wadau kadhaa kama watano hivi so nikaendelea zangu kupiga vitu huku naperuzi JF. Sasa bhana kumbe kati ya wale wadau kuna mmoja alikuwa anamendea demu wa kaunta sasa yeye kaagiza wee kanywa mpaka amefika mwisho.

So akaona uzalendo umemshinda kwa maana akiendelea kunywa manake ni atamwaga radhi na kumbuka anamtaka kaunta so baada ya kuona mimi sijitingishi ama kuonyesha ishara yoyote ya kuondoka na kumbuka yeye ashafika mwisho kabisa yaani maji yameshafika shingoni akaamua kuropoka maana naona ni kama uvumilivu umemshinda anakasema kwa hiyo x leo umepata bwana mpya au siyo ndiyo maana kila nikikuongelesha unaninyamazisha halafu kila napokuonesha ishara wala huitikii

Daaah binafsi nikajiskia kucheka ghafla nikacheka jamaa akasema hivi hata ukicheka huyu utamgegeda leo na kesho na sisi tutamgegeda tu kwa maana umemkuta hapa hapa na utamuacha hapa

Sasa yule kaunta akadakia kwani bwana mpya unayemsema ni yupi jamaa akanionyesha si huyu anayecheka hapo wee unafikiri mi sijaona ishara zenu

Daaah wadau nimecheka mno coz mimi wala sikuwa hata na huo mpango wa huyu kaunta ila kwa vile jamaa kanitengenezea njia basi huyu kaunta muda huu ndio tuko kwenye boda tunatafuta lodge ila nahisi naweza kuuza mechi wadau muniombee
😅😅😅Kimasihara
 
Mnaondoka kabla hamjafunga baa?
 
Hii hadithi hata Shigongo hawezi kuichapisha kwenye gazeti lake la uwazi
 
Wee kakwambia nani mi naandika uhalisia wewe unaleta utoto daah kazi sana aisee
 
Back
Top Bottom