ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,259
Yaaani nimecheka mpaka nimeona nifanye kushare na ndugu zangu wa umu
Fikiria nimeenda kwenye kabaa fulani cha uswazi sasa mimi ni aina ya wale watu nikiendaga sehemu nakuwaga sina shobo na wadau ninaowakuta kwenye hayo maeneo asee yaani waga ni mikausho mikali na mpaka nije kumzoea mtu inachukua muda kidogo
Basi bhana nimefika nikakaa zangu kaunta nikaagiza mnyama vant na walter soda basi niko napiga zangu mdogo mdogo maana mimi nimezoeaga vilaini kiasi basi so kuja kummaliza huyu mnyama inanichukuaga muda mrefu sana coz nakunywa taratibu mno
So wakati naendelea zangu kupiga huo mzigo kumbuka hapo kaunta nimewakuta wadau kadhaa kama watano hivi so nikaendelea zangu kupiga vitu huku naperuzi JF. Sasa bhana kumbe kati ya wale wadau kuna mmoja alikuwa anamendea demu wa kaunta sasa yeye kaagiza wee kanywa mpaka amefika mwisho.
So akaona uzalendo umemshinda kwa maana akiendelea kunywa manake ni atamwaga radhi na kumbuka anamtaka kaunta so baada ya kuona mimi sijitingishi ama kuonyesha ishara yoyote ya kuondoka na kumbuka yeye ashafika mwisho kabisa yaani maji yameshafika shingoni akaamua kuropoka maana naona ni kama uvumilivu umemshinda anakasema kwa hiyo x leo umepata bwana mpya au siyo ndiyo maana kila nikikuongelesha unaninyamazisha halafu kila napokuonesha ishara wala huitikii
Daaah binafsi nikajiskia kucheka ghafla nikacheka jamaa akasema hivi hata ukicheka huyu utamgegeda leo na kesho na sisi tutamgegeda tu kwa maana umemkuta hapa hapa na utamuacha hapa
Sasa yule kaunta akadakia kwani bwana mpya unayemsema ni yupi jamaa akanionyesha si huyu anayecheka hapo wee unafikiri mi sijaona ishara zenu
Daaah wadau nimecheka mno coz mimi wala sikuwa hata na huo mpango wa huyu kaunta ila kwa vile jamaa kanitengenezea njia basi huyu kaunta muda huu ndio tuko kwenye boda tunatafuta lodge ila nahisi naweza kuuza mechi wadau muniombee