Unasema, nisamehe kama nimeku-offend; haliikuwa lengo langu. Maana yake pamoja na kwamba wewe hujaona kosa, kwavile mwenzio amekwazika basi ni vizuri kuomba msamaha. This is my opinion anyway!
mhmh Kaunga na inapotokea mtuhumia analazimishwa kuomba msamaha inakuaje?
naamini majuto ya kweli hutokea bila shuruti!
Inategemea; kwenye mahusiano ambapo mmekutana watu wawili wazima kuna uwezekano mkubwa kutofautiana mitazamo. So ikitokea ugomvi ambao chanzo chake ni tofauti ya mitazamo; compromise ni muhimu kwa afya ya hayo mahusiano.
Lkn kama ni accusation kubwa, kwa upande wangu sintakiri kama sijafanya hicho kitu. Ingawa naweza tumia lugha ya kufeel bad kufikiriwa hivyo (but mostly l will feel offended and ask for an apology).
Huwezi kujuta na kukiri kwa jambo usilofanya, ila kama umefanya na wewe unaamini ni kosa ni muhimu kujutia hata usipokiri basi ujirekebishe. na kama umefanya na ukaamini kwamba sio kosa nitofauti ya mtazamo jaribu kumuelezea mwenzio kwa mapana kwanini huoni kama ni kosa.lakini utazame linamadhara kwake hilo uonalo sio kosa,kama lina madhara makubwa ya moja kwa moja kwake na katika uhusiano wenu je? zaidi itategemea na issue yenyewe imekaaje. mfano umemkuta mwenza wako anatazama TV ukabadili station bila makubaliano akakasirika na ukagoma kuomba msamaha na kukiri umekosea haiwezi kufanana na pale amekukuta live unachezea makalio ya h/girl kama wewe ni baba, au umefuja pesa mliyokusanya na mwenza wako au umememchoma mikono mtoto kwa kudokoa mboga jikoni.Happy New year to all!
WanaJF naomba majibu kwa maswala haya:
katika mahusiano watu wengi wanaamini mwenza kuomba msamaha na kujutia kosa lake basi msamaha wa kweli unapatikana, lakini hoja hapa ni namna gani unamfanya mwenzi wako atambue kuwa amekukosea au ametenda kosa?
je ni halali kukiri kuwa umekosa kwa sababu tu mwenzi wako anadhani/amini kuwa umekosa hata kama wewe (mtuhumiwa) huoni kama umekosea? na inapotokea umefanya jambo ambalo mwenza wako anaamini ni kosa na wewe unaamini siyo kosa je ni vizuri kuomba msamaha na kukiri kukosa ilimradi tu umridhishe? na endapo hautaomba msamaha, hathari gani inatokea katika mahusiano baina ya watu hawa wawili?
aksanteni sana!
mhmh Kaunga na inapotokea mtuhumia analazimishwa kuomba msamaha inakuaje?
naamini majuto ya kweli hutokea bila shuruti!
Tubu tu ulipokosea uifurahishe nafsi yako..It is imposible to please everyone.
Hakuna kitu kibaya kama kutubu kwa maneno na kuendelea kwa vitendo kufanya yale yanayonkera mwenzio, whether unaamini kama ni kosa ama sio kosa. Ustaarabu ni kumshawishi mwenzio kuwa haujakosea ila ni mtazamo tofauti tu na wa kwake. Kuliko kukimbilia kusema sorry na kurudia tena exactly the same thing. Hiyo ni dharau.
Unasema, nisamehe kama nimeku-offend; haliikuwa lengo langu. Maana yake pamoja na kwamba wewe hujaona kosa, kwavile mwenzio amekwazika basi ni vizuri kuomba msamaha. This is my opinion anyway!
ni hivi watu wengi sana wamejikita katika haya hasa linapokuja swala la kufanya maamuzi doing the right thing? or the wrong thing...ila amini kwamba its not all about who is right or who is wrong but rather doing the APPROPRIATE thing amini maisha yatakua marahisi sana kwako but what is an APPROPRIATE thing...varies from situations to situations..amin hivyo...ova...Happy New year to all!