Ukijitambua utafika mbali sana

Ukijitambua utafika mbali sana

Umejitahidi kunena kweli yenye mantiki, mafanikio au kushindwa ni zao la matokeo ya maandalizi na mipango binafsi. Ifahamike kuwa neno KUSHINDWA limetumika kama uzoefu wa kujaribu mambo kwa njia tofauti tofauti Wagunduzi wa Vitu vingi tunavyo tumia leo walipitia KUSHINDWA kuliko tunavyo fikiri kwahiyo KUSHINDWA sio MTAJI wa kukata Tamaa na kuanza kulalamika.
Barikiwa sana Mkuu
 
Maneno mazito kama haya watu wa Tanganyika wakishasoma mistari miwili tu wanaacha.

Kushabikia jambo sio tatizo lakini ukivuka mipaka ndio tatizo. Jambo lolote lile ukiipenda kwa kuvuka mipaka kwa mambo haya dunia litakuletea madhara. Ni kama hayo uliyotaja.

Kwa kumalizia tu mm nawashauri ukiwa umekosa cha kufanya muda mwingi utumie kwenye ibada
 
Sawa Mkuu
 
Back
Top Bottom