Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,620
- 27,508
- Thread starter
-
- #21
Pole Sana mkuuKuna tafiti moja inasema kuoga kila siku sio lazima,,hatar Sana!
nimewahi kuweka uzi humu kuhusu kuoga, sio lazima kuoga kila siku nilishambuliwa balaa!
Mkuu chukua Kwanza popcorn hapo Kwa mangi umetisha Sanakile unachokiwaza ndio kinachokutokea ukiwaza kuumwa utaumwa ukiwaza kuwa na afya nzuri hautaumwa Cha kushangaza unakuta mtu kaandaa budget ya mambo yake mbalimbali alafu ameweka na budget ya kuumwa akiwa na Maana ni kitu Cha kawaida lazima aumwe unajichuliaa na utaumwa tu ni sàwa na kuchimba kabuli alafu uliache wazi umechimba la nini sasa?
Kiswahili hiki,hiki kiswahiliii!!!!! Embu ngoja nitulie kwanzaKunawa mikono ni vizuri, ila kutokunawa mikono ni bora kuliko kutokunawa vizuri
❤️....itabidi umtafute mwamba aliyesoma Cuba akutafsirie aiseeKiswahili hiki,hiki kiswahiliii!!!!! Embu ngoja nitulie kwanza
Kwa kweli❤️....itabidi umtafute mwamba aliyesoma Cuba akutafsirie aisee
Ni kweli lakini kutegemeana na body temperature ya mtu, mazingira ya hali ya hewa na factor nyingine nyingi. Mimi pia kuna nyakati siogi naoga mara 1 au napitisha siku nzima. Ni nzuri kiafya.Kuna tafiti moja inasema kuoga kila siku sio lazima,,hatar Sana!
nimewahi kuweka uzi humu kuhusu kuoga, sio lazima kuoga kila siku nilishambuliwa balaa!
Mkuu kuhusu Kula mbususu na kutopata maradhi inategemeana na kupatikana Kwa michubuko katika tendo lenyewe,kama hakuna michubuko uwezekano WA kuwa salama ni mkubwa SanaMzee wa Mbususu Mzabzab ataunga mkono hyo sentensi ya huyo jamaa
Kuna watu ni wazinzi hatari na kuna muda huwa hawatumii ndomu lakin hawana ngoma huwa nashangaa sjui inawezekanaje
Kwa africa bacteria ni wengi sana kula bila kunawa ni hatari sana bora kwa wenzetu huko bacteria sio sana huko hata ukila bila kunawa ni fresh tu
Daah mkuu kwahiyo kwa maana hiyo wanao kaa katika mazingira ya baridi Sana wasijisumbue kuoga bure!Ni kweli lakini kutegemeana na body temperature ya mtu, mazingira ya hali ya hewa na factor nyingine nyingi. Mimi pia kuna nyakati siogi naoga mara 1 au napitisha siku nzima. Ni nzuri kiafya.
Mkuu mwambie mangi akupe popcorn fastasure mi nshawahi kuchapa mbunye huku vijidudu vya kaswende vikiniangalia kwa huruma ila hadi leo nko fit
Hatar Sana mkuuJiamini bila condom.
SawaMkuu mwambie mangi akupe popcorn fasta
Umetisha sanasa
Kias cha bacteria kilichopo ulaya ni kidogo sana sio kama hukuMkuu kuhusu Kula mbususu na kutopata maradhi inategemeana na kupatikana Kwa michubuko katika tendo lenyewe,kama hakuna michubuko uwezekano WA kuwa salama ni mkubwa Sana
Na vile vile kama mtu anakunywa dawa za kufubaza virusi vile vile kukuambukiza inakuwa ngumu Sana.
Sasa mkuu unataka kuniambia bacteria WA ulaya hawana madhara Sana au
kichaa anakula jalalani ulishawahi kuona anaumwa tumbo? Nenda kale wewe jalalani sasa!Ulishaona vibarua wa site wakiketewa msosi wa pamoja?Nguna Hilo apo linatakiwa lizungukwe na watu kama wote hivi[emoji23][emoji23]
ni biashara hiyo ya wateja wenye hofu.Mkuu chukua Kwanza popcorn hapo Kwa mangi umetisha Sana
Kwahiyo kama vipi bima haina umuhimu au sio, coz inatimiza lengo la kujitakia kuumwa!
Kuoga kila siku kunaondoa uwezo wa mwili kujihuisha mkuu. Ila inategemea na factors kama nilivyosema. Kwa mjoto huu wa Dar inategemea na mwili wa mtu na kama hachakariki, anaweza ku skip mara mojamoja. Inakua applicable zaidi zile siku mtu ameshinda na mwili haujachakarika sana.Daah mkuu kwahiyo kwa maana hiyo wanao kaa katika mazingira ya baridi Sana wasijisumbue kuoga bure!