Ukijamba usiambiwe...?

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Sharobaro alikua ameketi back seat kny daladala na sista duu akamtamani na kuanza kumtongoza.. Sista duu akawa kimya bila kujib kitu.. Sharobaro akawa king'ang'anizi na kuendelea kumwaga "sera".. Sista duu kuona kero akapaza sauti kubwa "sitaki bwana".. Watu wote kny 'kibasi' wakageuka. Sharo kuona ataabika nae akatoa kibesi kuua soo..
"We ukijamba usiambiwe? Unatuchafulia hewa humu ndani bwana".. Sista duu akainamisha kichwa kwa aibu, ikabidi ashuke kituo cha jiran japo alikua hajafika..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom