Ukiisoma hii course utaajiriwa kama nani? Bachelor of arts in community and development studies

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
243
250
Wakuu hivi ukisoma course hii ya"Bachelor of arts in community and development studies
Utaajiriwa kama nani?
 
Balacuda

JF-Expert Member
Mar 8, 2013
1,390
2,000
Kazi kubwa kiubwa za mashirika ya ya kijamii kama UN SADC, WB, hasa kuhusu kutengeneza reports zinazohusu jamii. ila kazi kama hizo hazitoki kirahisi ila siku ikitoka unakuta una- apply peke yako.

Pia kuna kitu ambacho watengenezaji wa miradi ya maendeleo (infrastructure) kwenye feasibility study lazima pia kuna kuangalia jamii ambayo imezungukwa na miradi hiyo ambapo huyo mtu wa community ndo anaanda report. Bila report ya huyo mtu hakuna mradi utaruhusiwa kufanyika hapo.

Mara nyingi watu waliosomea political/social science ndo wanafanya hizi kazi kwenye miradi lakini kiuhalisia sio za kwao ila kwa kuwa kuna ufinyu wa upatikanaji wa wahusika kamili ndo hawa wanaingia kufanya hizi kazi.

Wakati mwingine unatumia CV yako kuwapa makapmuni wanaooomba kazi mfano project za WB. Unalipwa chako na mradi ukipatikana wanakuingiza.

Zinalipa ila unatakiwa kuwa umefungua campuni yako binafsi unaingia kama consultant. Ni sawa na watu wa environment ambao bila andiko lao mradi hauwezi kufanyika.

Tena unatakiwa ujiongeze mpaka kwenye matsers ndo utafaidi vizuri
 
Shukran hii s sawa na community development?
 
BabuMwerevu

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
657
1,000
Maana kuna mtu alinambia hii course ni tofauti ya bachelor in community development
Ni sawa na mtu aliyesoma Bachelor of Science in Engineering na mwingine Bachelor of Engineering pamoja na kwamba in practical wapo tofauti lakini wote wanaajiriwa kama Engineers
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom