Jitahidi shem....
Tukuelekeze nyumba ya wageni?
Ila oats,kiwi na green tea vimenishindwa kwa kweli sijui ndio ushamba au kuvijulia ukubwani
Kukupeleka tu???
Shem kiwi nazipenda sana, tamu sana zile. Olives je unakula??
Oats na maziwa na sukari kwa mbali ni bomba sana!! Yaani ile ukishushia na mkate au chapati huwezi kumbuka hata lunch
Ila oats,kiwi na green tea vimenishindwa kwa kweli sijui ndio ushamba au kuvijulia ukubwani