Ukiipenda ichukue

Hizo ngaz za matairi kama za mbagala
 
Mkuu vya ulaya ni ulaya na vya kibongo ni lazima upate kibali au au watakuvunjia na kukukamata na faini yake ni laki mbili na hizo huwa ni posho ya sadiki mwenye mji wake na hataki uchafu wa matairi
 
Hizo ngazi za tair daaa kibongo zaid
 
Badala ya kutupa matairi ni vyema yakawa recycled kama hivi
 
Mbona hizo swaga ziko kibao bongo? Mpaka ghorofa za udongo ziko huko lushoto?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…