SIJAWAHI ONA SHETANI KACHORWA MWEUPE. ILA MITUME WOTE KUANZIA YESU KWENDA JUU HUWA NI WEUPE.shetani ni mweusi
Hapa kuna kitu cha kutafakari zaidiSIJAWAHI ONA SHETANI KACHORWA MWEUPE. ILA MITUME WOTE KUANZIA YESU KWENDA JUU HUWA NI WEUPE.
DuhSIJAWAHI ONA SHETANI KACHORWA MWEUPE. ILA MITUME WOTE KUANZIA YESU KWENDA JUU HUWA NI WEUPE.
Si ungekua huelewi hata korodani ni nini mkuu?bora hata walivyokula tunda na kujua mema na mabaya kuliko kama tunge kuwa tunatenbea uchi ingekuwaje hivi pale posta au kariakoo kuchekana korodani😀😀😀😀
Tusingechekana kwa sababu hakuna ambaye angeona mwenzake ni Wa ajabu.bora hata walivyokula tunda na kujua mema na mabaya kuliko kama tunge kuwa tunatenbea uchi ingekuwaje hivi pale posta au kariakoo kuchekana korodani😀😀😀😀
Mbona kwenye maandiko mbuni hatajwi wakati hapo yupo?