Rooney
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 3,781
- 3,942
Mbuni ndo yupi hapo?Mbona kwenye maandiko mbuni hatajwi wakati hapo yupo?
Mbuni ndo yupi hapo?Mbona kwenye maandiko mbuni hatajwi wakati hapo yupo?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]bora hata walivyokula tunda na kujua mema na mabaya kuliko kama tunge kuwa tunatenbea uchi ingekuwaje hivi pale posta au kariakoo kuchekana korodani😀😀😀😀
Msela amekosa jina la huyo ndege akaona amuite mbuni tu.Mbuni ndo yupi hapo?
[emoji1787][emoji23][emoji16][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji16] na kweliMsela amekosa jina la huyo ndege akaona amuite mbuni tu.
Ni kama saloon cars wasukuma wanavyoziita tax/cab.
Bora unarahisisha maisha Mkuu,mana naona ndugu anataka kufanyavmaisha yawe magumu zaidiMsela amekosa jina la huyo ndege akaona amuite mbuni tu.
Ni kama saloon cars wasukuma wanavyoziita tax/cab.
Inaonekana huyu mwanamke alikuwa anawapenda hao wanaume wote wawili, wa chini mweupe na wa juu ya mti mweusi mwenye mkia.Nitajiuliza tu kwanini shetani kawa mweusi na Adam kawa mweupe
shetani ni mweusi nasisi tumeumbwa kwa mfano wakenaamini waliongea mengi zaidi ya kuambiana swala la kula tunda.