Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,586
KUNA KIPINDI NILIWAHI SEMA KWA KWELI TUNAPENDA MABADILIKO LAKINI KULEE JUU..MMMH MAPEMA SANA KUINGIA NA KWELI TUMSHUKURU MUNGU MAANA IINGEKUWA SHIDAA
INASIKITISHA MWANASIASA KAMA DIWANI UNAPOJIANDAA KUHAMIA KWAKO NA HUKU UKIKWEPA KULIPA KODI YA MWENYE NYUMBA MBAYA ZAIDI HAO HAO WALITARAJIA KUINGOZA NCHI
KWA KWELI N AIBU KUBWA TU KWA UKAWA ..JARIBUNI KUKALISHANA CHINI HESHIMA SIO TU KUWA DIWANI NA HATA MATENDO YAKO...
UNAPOKUWA MHUNI KISA UNACHEO CHA UDIWANI KWA KWELI HATA WALIOKUPIGIA WANAKUOGOP NA KUOGOPA CHAMA KILICHOKUWEKA MADARAKA
KAENI CHINI UKAWA MWAMBIE MADIWANI WENU WALIPE KODI ZA WATU NA SIOKUKIMMBIA NYUMBA ILIOKUTUNZA SIKU ZOTE MPAKA UKAPATA UWAKILISHI
NAAMINI MH MBOWE WASIKUAIBISHE ZAIDI WARUDISHE SHULE MADIWANI WA DAR WASIKUTIE AIBU WAWE NA HESHIMA NA NYUMBA ZILIZOWAHIFADHI