Ukihadaika imekula kwako ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukihadaika imekula kwako !

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DAWA YA SIKIO, Dec 25, 2011.

 1. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Anakuimbia nyimbo tamu kwa sauti yake laini.
  Anajipitisha pitisha mbele yako.
  Mwishowe usipokuwa makini atakukalia kama alivyo maungoni mwako.
  ... Lakini hala hala ndugu,keshawapeleka wengi kaburini kwa tamaa zake.
  Hana lolote akiishakunyonya atakuachia ugonjwa wa malaria na kuondoka.
  ... Shusha chandarua uepukane na mbu anaeeneza malaria.
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Piga nyagi dry ili uepukane na malaria.
   
 3. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  ... Teh teh !
  Mkuu !Nitajie dose ya mtoto wa miezi 6 vijiko vingapi ?! Kuna kadogo hapa huwa kanasumbuliwa na malaria ya mara kwa mara.
   
Loading...