Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
nani aliishauri serikali katika kipindi cha madini-Leo, Ripoti ya pili ya makinikia inawasilishwa. Ripoti hiyo inawasilishwa na Kamati Maalum iliyoundwa na Rais chini ya Prof. Osoro. Kimsingi, Ripoti hii itajikita kwenye athari za kiuchumi na za kisheria zilizotokana na usafirishaji wa makinikia kwa miaka yote.
Kikatiba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali almaarufu kama AG ndiye Mshauri mkuu wa kisheria wa Serikali. Ndiye hasa anapaswa kuishauri Serikali katika mambo ya kisheria ili kuiepusha nchi na athari za kisheria katika mikataba, sharia na kadhalika.
Wakati mkifuatilia na kufanya tafakuri za Ripoti ya pili ya makinikia, wajueni Wanasheria Wakuu wa Serikali kuanzia uhuru wa Tanzania hadi leo. Ni hawa:
# Attorney General Tenure
1 Roland Brown[2] 1964–1965
2 Mark Bomani[3] 1965–1976
3 Joseph Warioba[4] 1976–1985
4 Damian Lubuva[5] 1985–1993
5 Andrew Chenge 1993–2005
6 Johnson Mwanyika 2005–2009
7 Frederick Werema 2009–2014
8 George Masaju Incumbent
Leo, Ripoti ya pili ya makinikia inawasilishwa. Ripoti hiyo inawasilishwa na Kamati Maalum iliyoundwa na Rais chini ya Prof. Osoro. Kimsingi, Ripoti hii itajikita kwenye athari za kiuchumi na za kisheria zilizotokana na usafirishaji wa makinikia kwa miaka yote.
Kikatiba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali almaarufu kama AG ndiye Mshauri mkuu wa kisheria wa Serikali. Ndiye hasa anapaswa kuishauri Serikali katika mambo ya kisheria ili kuiepusha nchi na athari za kisheria katika mikataba, sharia na kadhalika.
Wakati mkifuatilia na kufanya tafakuri za Ripoti ya pili ya makinikia, wajueni Wanasheria Wakuu wa Serikali kuanzia uhuru wa Tanzania hadi leo. Ni hawa:
# Attorney General Tenure
1 Roland Brown[2] 1964–1965
2 Mark Bomani[3] 1965–1976
3 Joseph Warioba[4] 1976–1985
4 Damian Lubuva[5] 1985–1993
5 Andrew Chenge 1993–2005
6 Johnson Mwanyika 2005–2009
7 Frederick Werema 2009–2014
8 George Masaju Incumbent
Nimekuelewa Mkuu. Sitamjibu tenaKumbe huyu ni dada/mwanamke/msichana avoid semi-illiterates hawa Petro
Tutege masikio MkuuAisee, Chenge na Mwanyika wana kazi ya ziada ya kupiga deki miili yao maana itachafuka na tope jingi sana leo hii
SawaMengine uwe unakaushia tu, kwani Huwezi kuona kuwa hii ni joke tu?
Huyu alipaswa awe nyuma ya nondo siku nyingi.Andrew Chenge uyu mzee kaliingiza taifa shimoni.
Kwa moyo uliojaa hila yaonyesha wamzidi kidogo shetani.Nilifikiri amewahi kuwa kila kitu hata sasa ni Mtemi wa Singida!