Beberu-mpya JF-Expert Member Joined Feb 14, 2017 Posts 216 Reaction score 106 Mar 26, 2017 #1 Najua familia zetu za kiafrika hujawa na tamaa kiasi kutokutambua nipo Dar es salaam nafanya kazi gani sasa embu nisaidieni hapa nini kitatokea? Attachments FB_IMG_1490548610996.jpg 67.3 KB · Views: 32
Najua familia zetu za kiafrika hujawa na tamaa kiasi kutokutambua nipo Dar es salaam nafanya kazi gani sasa embu nisaidieni hapa nini kitatokea?
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,516 Reaction score 13,271 Mar 26, 2017 #2 Japo itakuuma inabidi tu upotezee ukianza malumbano unaweza jiongezea matatizo.