Ukifika salama mshukuru Mungu

Na kweli kaka Mshana humu manjiani tunakutana na mitihani mingi sana
 
Ili iweje mkuu? Mimi nadhani ajali ni ajali haijalishi una gari refu au fupi au sijakuelewa naomba nifafanua

Natambua kuwa ajali ni ajali, niliyoyaandika yametokana na kusoma picha.
 
Naona gari la gharama nyingi kabisa safari yake,imeishia hapo.

Sjui mmliki alichomoka???
 
Jameni kazi yangu inahusu kusafiri sana na huwa namshukuru Mungu kila nikifika maana jameni ambayo huwa nayakuta njiani.
 
Kuna umuhimu wa kuwa na gari refu
kama hili mkuu

Chanzo
Code:
 http://www.dailymail.co.uk/news/article-2743850/The-5-ton-12-mile-gallon-Unimog-Arnold-Schwarzenegger-bought-signing-strict-emissions-law-goes-sale-273-250.html
 
kama hili mkuu

Chanzo
Code:
 http://www.dailymail.co.uk/news/article-2743850/The-5-ton-12-mile-gallon-Unimog-Arnold-Schwarzenegger-bought-signing-strict-emissions-law-goes-sale-273-250.html

Au hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…