Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,286
- 7,074
Hapafai kuishi,Woodstock kuna usalama kidogoCapeflats , cptn wahuni wengi sana
Nenda kafanye mipango.Wabongo wengi wamewaoaTotos colored vipi nikitaka kuimport mmoja aje tuishi bongo
Asilimia 80 wanatumia.Kama wabongo wengi wanaenda huko kuuza madawa hii inamaana Kuna watumiaji wengi huko si ndivyo..?
Nenda kaone kwa macho yako,coloureds 80% wanatumia madawa. Wabongo wanaofanya kazi za kuuza bidhaaa au bandarini ni wachache sana.Acha Uongo mkuu unajuwa maana ya Asilimia 80%?Pia ina maana ujaona wabongo wakifanya kazi nyingine zaidi ya hayo Madawa?Sumtime usiwapotoshe watu.
Naam,ndio matunda ya beberu hayo.Ila Capetown hakuna utofauti na miji ya Europe , IPO poa sana
Kama umefika hiyo Mitaa aliyosema. Utagundua alichosema Mtoa Mada ni kweli. Tena sio 80% ni 90% KabisaAcha Uongo mkuu unajuwa maana ya Asilimia 80%?Pia ina maana ujaona wabongo wakifanya kazi nyingine zaidi ya hayo Madawa?Sumtime usiwapotoshe watu.
Nisalimie Wanachuo hasa wa Kitanzania hapo UCT ( University of Capetown ) na wale Wabongo wa Langa na 'Malaya' wazuri wa 'Winnipeg' Mkuu.Utakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
Mkuu naomba connection ya kufikia hukoUtakuta kuna watanzania walishazamia SA zaidi ya miaka 30, hawana mbele wala nyuma na ndugu zao hawana taarifa zao.
Wenyeji wa Capetown ambao ni Coloureds wanaongea Kiswahili kama Wabongo, hii ni sababu walishajichanganya na Wabongo ambao wengi wanauzia unga na madawa mengine ya kulevya.
Kuna kitongoji kinaitwa Woodstock, kuna Watanzania kibao unaweza ukadhania upo keko.
Wanawake wa ki-coloureds wengi wanawapenda sana Wabongo. Haya ni baadhi ya maajabu ya Capetown, mji ambao naupenda na kila nikipata vijisenti huwa naenda kula bata Campsbay.
AhahahahahaMsauzi na mbongo akili zao moja ndo maana wanapendana wote WAVIVU
Hawapendi kazi ngumu kama Wazimbabwe, Wamalawi na watu wa Msumbiji.Msauzi na mbongo akili zao moja ndo maana wanapendana wote WAVIVU