Ukifa, usijali kuhusu mwili wako...!

Somotimes sio kifo bali tunaowaach na wanaotuacha

Bab
Mam
Mke
Watoto
Jamaa zako


Very sad

Kifo chako binafs si issue
Youre thinking... Such great thoughts yeah kifo changu binafsi sio issue kabisa na hakuna sababu ya kukiogopa. Uneasy inakuja pale mpendwa wangu sana ninayemjali anaponililia, kuomboleza the sorts... Apo ndipo tatizo
 
Kifo kinaogopesha sana. Ni basi tu kuna wakati tunajipa ujasiri.
Napata Tabu kupata majibu ya maswali ninayojiuliza. Mfano
1.Lin mwisho wa uhai wangu?
2 nini sababu ya kifo changu
3 Ni wangapi kitawaliza kifo changu?
4 Je mwili wangu utazikwa au utaozea porini?
5.Nani atakua wa kwanza kuona mwili wangu?
6 Wangapi watafurahia kifo changu
7 Nani ataniosha na kunivisha sanda
8 Akina nani watabeba jeneza langu?
9 Nani atawafariji wanangu?
10 Je, utapokeaje taarifa za kifochangu?
Nikifikiria Yote haya sioni sababu ya kuwa na adui duniani
MUMGU tujalie maisha mema na mwisho mwema
 
Daah huu ndio ukweli mchungu[emoji25]
 
dah hii konki sana, sema ndio vile tunajisahaulisha na kuonea na kutesa wenzetu mitaani humu kumbe mwisho wa siku hata demu wako atatafunwa na wengine huku.

Tupendane na kuheshiana tu.
 
Mwaka 2015 nilianguka kutoka ghorofa ya 3 hadi ground level, hii story hamna mtu anaeiamini mpaka leo zaidi ya wale tu waliokuwepo eneo la tukio kipindi kile, kutokea hapo nikasema Mungu ananipenda sana na mimi sitokufa kifo chochote tofaut na cha Mungu, nimekuwa siogopi tena sikuhz, sababu kuu inayonifanya nisiogope ni kuwa nitakapokufa sitojua maana mm nilibebwa kama mzoga watu wote walijua tayari, walikuwa wanafanya tu kunipeleka mortuary ila dah Mungu ananipenda sana Peter mimi, ninamshukuru kila sekunde ya maisha yangu, by that time nilikuwa sina hata mtoto yaani ningesahaulika haraka sana
 
Pole sana bro ilikuwaje?
 
Pole sana mkuu.. Nikikumbuka msiba wa wazazi wangu kwa nyakati tofauti yale maumivu makali na ile sintofahamu.. Lakini Mimi niliagana na Mom[emoji24] kwa namna ya pekee mno..[emoji25]
I feel u Mr Mshana.. my. mom succumbed to covid.. so painfully despite my self being specialist MD.. pole sana
 
Uzi huu watag wale machawa wa Mama wanaotutesa wananchi kwa Tozo.
 
Kuna stage fulani ukifikia wala kifo au habari zake huwa hazikutetemeshi, Kama ushafikia hatua hiyo basi utaelewa ninachokimaanisha kwani ni ngumu kuelezeka kirahisi...tunakiheshimu ila si kwa kujali Sana kuhusu maiti zetu.
 
Nimekuelewa vizuri mkuu kwenye hii pattern ya BODY, SPIRIT AND SOUL, ni moja kati ya topic ngumu zaidi duniani ikianza na ile ya UUMBAJI.
 
Mama yangu alipokufa mwaka wa 1984, hakuniachia kitabu cha mwongozo kuhusu jinsi ya kupumua na kupata maisha baada yake.

Baba yangu alikuwa akiniambia kila wakati, jinsi nilivyokuwa peke yangu ndani ya nyumba, baada ya kurudi nyumbani kutoka hospitali, ambaye alijua kila kitu kiko wapi.

Alikuwa akinitayarisha kwa ajili ya siku hiyo kwa ajili ya Nafsi Yake & Mungu alijua jinsi nitakavyopiga hatua zaidi kwenye njia yangu ya upendo.

Safari Takatifu ya Upendo na Nuru, ilinionyesha mbegu Alizopanda na kuendelea kupanda kwenye Kiwango cha Nafsi.

Mti wa Uzima…

Hapa ndipo tulipoanzia na hapa ndipo Mafumbo ya Familia na Hekima ziko hapa kwa ajili yetu ili kujumuisha na kukua kupitia….na haya ndiyo tunayoacha nyuma…Urithi Wetu.

Sikujua kuwa Upendo na Nuru Yake imekuwa, ni na itaunga mkono safari yangu ya kurudi nyumbani kila wakati.

Yote ni Upendo [emoji3590]

…na kila asubuhi ninapoamka, ananibusu na kusema: Habari za asubuhi Msichana wangu, Unapendwa na Unalindwa.

[emoji93][emoji120][emoji257]

Kutoka kwa Sarah kwa Upendo na Neema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…