Ukienda Mkoa huu huyu atakupokea kukukarimu

Come Arusha a.k.a chuga nitakupeleka kwenye siri ya jiji la Arusha. Leisure places like Fuzzpoint, matako bar, Triple A, heritage places zipo za kutosha na kushangaza mno pia maeneo bata kibao ya bata huku ukijionea totozo nyeupe na nyama ya kuchoma safi kabisa hutojutia. Kuna maeno siweki picha maana nyingi ziko na sura yangu.

Onja kidogo..! hiyo ni nature only.
[emoji116][emoji116]
IMG_20180822_144230.jpg
IMG_20180822_133519.jpg
IMG_20180814_155108_336.jpg
me_edited.jpg
IMG_20180801_141727.jpg
IMG_20180726_160647.jpg
IMG_20180729_134123.jpg
IMG_20180726_155632.jpg
IMG_20180722_185019_140.jpg
IMG_20180722_184340_712.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewaza sana kwa sisi tunaosafiri safiri ni vyema kama tutakuwa na Members wenzetu wa JF ambao watatusadia huko tuendako kwa ajili ya kupeana Company nakadhalika.
naomba tuweze kuwa na ukarimu wa kukaribisha members wenzetu wanapokuja kwenye mikoa yetu. tutumie nafasi hii kuonesha ukarimu wa kitanzania kwa watu mbali mbali.

UKIJA DAR
Nitafute mimi
Chizi Maarifa nitakutembeza maeneo mbalimbali ya dar. kuanzia Yenu Bar, Kona Bar, Bugurni Rozana, kule kwa Wahaya, Toroka Ukuje, Temeke ,Buguruni kwa Mnyamani, Ohio town, Sinza, Magomeni, Mlimani City, City Mall, Quality Centre, Mikocheni,Oysetrbay n.k yaani maeneo yooote ambayo ukiwa mkoani unayasikia sikia. oooh.. na kwenye daraja la manzese na la hapa tazara pia fly over. ntakuonesha na kukupa nafasi ya kupiga picha kwenye mendo kasi,ntakupeleka ukaoge maji ya baharini n.k

kwa mnaokuja dar naombeni tuwasiliane mkija mimi ntawapo tour bure kabisa. kuonesha kuwa sisi watu wa pwani ni wakarimu sana.

NANI YUPO.
MOROG
SINGIDA
DODOMA
SHINYANGA
ARUSHA
TABORA
MWANZA
MARA
BUKOBA
KINJARO
MBEYA
IRINGA
RUVUMA
PEMBA
UNGUJA
MTWARA
LINDI
PWANI
ETC
Hii biashara haramu inapatikana Dar tu

but kuwa wazi mkuu utaelekezwa kwa kupata huduma zetu hizi, kwa sasa umesafiri na uko mkoa gani
 
Eti "nitakupa nafasi ya kupiga picha kwenye mwendokasi"
WHO ARE YOU?
 
Come Arusha a.k.a chuga nitakupeleka kwenye siri ya jiji la Arusha. Leisure places like Fuzzpoint, matako bar, Triple A, heritage places zipo za kutosha na kushangaza mno pia maeneo bata kibao ya bata huku ukijionea totozo nyeupe na nyama ya kuchoma safi kabisa hutojutia. Kuna maeno siweki picha maana nyingi ziko na sura yangu.

Onja kidogo..! hiyo ni nature only.
[emoji116][emoji116]View attachment 846396View attachment 846398View attachment 846399View attachment 846401View attachment 846402View attachment 846403View attachment 846404View attachment 846406View attachment 846407View attachment 846408

Sent using Jamii Forums mobile app
sijapaona unga limited
 
Akili yako ndo inawaza hivyo utalii ni subjective sijui kama umeelewa kwa hilo neno. Ambacho kwako ni utalii kwa mwingine si utalii. Panua akili usiwaze upuuzi kila wakati.

Umetaja maeneo yenye b*tches, akili zako zinawaza wa mikoani wanapenda chini.
Ungetaja maeneo ya kitalii mfano Dar es salaam zoo kule kigamboni, makumbusho etc ungeonekana wa maana
 
Nimewaza sana kwa sisi tunaosafiri safiri ni vyema kama tutakuwa na Members wenzetu wa JF ambao watatusadia huko tuendako kwa ajili ya kupeana Company nakadhalika.
naomba tuweze kuwa na ukarimu wa kukaribisha members wenzetu wanapokuja kwenye mikoa yetu. tutumie nafasi hii kuonesha ukarimu wa kitanzania kwa watu mbali mbali.

UKIJA DAR
Nitafute mimi
Chizi Maarifa nitakutembeza maeneo mbalimbali ya dar. kuanzia Yenu Bar, Kona Bar, Bugurni Rozana, kule kwa Wahaya, Toroka Ukuje, Temeke ,Buguruni kwa Mnyamani, Ohio town, Sinza, Magomeni, Mlimani City, City Mall, Quality Centre, Mikocheni,Oysetrbay n.k yaani maeneo yooote ambayo ukiwa mkoani unayasikia sikia. oooh.. na kwenye daraja la manzese na la hapa tazara pia fly over. ntakuonesha na kukupa nafasi ya kupiga picha kwenye mendo kasi,ntakupeleka ukaoge maji ya baharini n.k

kwa mnaokuja dar naombeni tuwasiliane mkija mimi ntawapo tour bure kabisa. kuonesha kuwa sisi watu wa pwani ni wakarimu sana.

NANI YUPO.
MOROG
SINGIDA
DODOMA
SHINYANGA
ARUSHA
TABORA
MWANZA
MARA
BUKOBA
KINJARO
MBEYA
IRINGA
RUVUMA
PEMBA
UNGUJA
MTWARA
LINDI
PWANI
ETC
nipo mbeya mkuu karibu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom