Ukicheche basi,,nabaki njia kuu

shalolizo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
336
Reaction score
204
Marafiki zangu kuanzia leo nafunga zipu yangu maana nimeifungua vya kutosha na yule demu wangu kicheche nimemwacha rasmi baada ya kupima UKIMWI nakujikuta sina maambukizi,,ni uamuzi mgumu sana wa kuamua kupima lakini leo nilijikaza na nilikuwa nipo tayari kwa matokeo yeyote,,MCHEPUKO SIYO DILI BAKI NJIA KUU
 
Mshkuru Mungu it isnt too late. Sasa basi sio wiki mbili tatu unajisahau tena?
 

Hahahahahaaaa!
Maneno kama hayo huwa nayaongeaga soon aftaaaa aftaaa... (aaagh kigugumizi bhana!) wakati huo kichwa chini kimepoa kabisa, na hapo kichwa cha juu ndio kinaweka mikakati!
...
Afanalek kufa hakuna mreki! Hili bichwa la juu linajidai tu, but cha chini kikiamka tu cha juu chali!!!!!!!
...
NB: kichwa cha juu ubongo na cha chini moyo! Kama hutaki basi! Teh teh teh!
 
Uamuzi mzuri sana...hongera

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

hongera kwa kupunguza maambukizi...

ila, kumbuka kuwa ukimwi ni zaidi ya ngono, sexual contact.. unaweza ukaupata kwa njia nyingine nyingi tu...

just kuwa mwangalifu... hongera kwa kujitoa mtandaoni!
 
Mwanaume ana UBONGO na GEGEDEO. Bahati mbaya damu aliopewa haitoshi kuviendesha vyote kwa wakati mmoja.

So kimoja kikiwa ON kingine lazima kiwe OFF.
 
hongera sana mkuu baki njia kuu ila mimi nilishawahi kusema ulabu kwangu mwiko wee mwezi 1 tu hoi nikaanza kugonga za kujificha hatimaye wazi kila mtu anajua nagonga.sasa isiwe na wewe tena mchezo wenyewe ni gizani nani atakuona
 
hongera sana mkuu baki njia kuu ila mimi nilishawahi kusema ulabu kwangu mwiko wee mwezi 1 tu hoi nikaanza kugonga za kujificha hatimaye wazi kila mtu anajua nagonga.sasa isiwe na wewe tena mchezo wenyewe ni gizani nani atakuona

Nimeamua mwenyewe maana mtu niliyemwamini ni kicheche sana,,kuanza upya siyo ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…