Ukichagua CHADEMA usilalamike tena, umetaka mwenyewe!

Ukichagua CHADEMA usilalamike tena, umetaka mwenyewe!

Ccm out at wherever cost....sick and tired of this blood sucker,vampire...been suckin our blood for 50 years now so we must join hands and uproot these vampires on 25.10
 
Tatizo lako tungwilege; umejaa upepo hebu tulia Mgufuli ndiye mkombozi wa mabadiliko ya kweli, wengine ni masononeko na ubinafsi.

Sitaamini na wala sitaki kuamini kwamba ufumbuzi ni magufuli,sisimu ni mfumo usiojielewa umejaa walafi tu,wasiothamini wananchi kabisa,wanakuja na mikakati na miradi mbalimbali kwa minajili ya kusaidia wananchi kumbe ni njia ya kupiga pesa tu,ni aibu kwa wananchi kushabikia sisimu muda huu wanapaswa kwenda likizo kujifunza na kujipanga upya labda 2020 na kuendelea
 
mmezoea kucheza na akili za watanzania safari hii vijana wameelimika kazi mnayo nyie magamba
 
Mkichagua CCM mmelogwa au kulaaniwa.
Nawasihi Watanzania wenzangu, hii ni nchi yetu, Rais wetu mpendwa ajaye Dr. Magufuli ni mzalendo na mchapa kazi, kson m najua nawe umemkubali ila unataka nawe usikike jamaa zako wasikufikirie vibaya. Usione aibu, penye ukweli usiwafiche, lowasa amekuja cdm kuwaulia chama chenu.
 
ndiyo safi kife ccm itawale milele.sasa mapesa yote hayo na nguvu zote hizo mnatumia za nini wakati kuna mtu anawasaidia kuiua cdm?
 
Back
Top Bottom