Ukichagua CHADEMA usilalamike tena, umetaka mwenyewe!

Bukama Batoko

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
820
Reaction score
137
Nawasihi Watanzania msithutu kujaribisha kama moto unaunguza wakati vijana wamezuzuka na udanganyifu wataletewa mabadiliko kumbe wanaletewa viroba ili kuharibu akili zao wasije wakawasumbua, utamlilia nani wakati jamaa wako kimkakati kutunisha mifuko na matumbo yao.

Angalieni maneno yao "mitanzania mijinga sana" wanawadharau hata watu ambao ndiyo wapiga kura? Achaneni na usanii huo wa watu wachache wanaojikumbuka wenyewe, kuhama kwao siyo kumjali Mtanzania bali ni kuboresha maisha yao popote poale kwenye fursa angalia lowasa, sumaye, masha. Wapo kimaslahi hao binafsi.
 
Nashukuru sana kwa kunifanya nihoji kwa nini mnarubuni watu kwambaabadiliko hayapo hata kubadili chama ni mabadiliko tosha
 
Nawasihi Watanzania msithutu kujaribisha kama moto unaunguza wakati vijana wamezuzuka na udanganyifu wataletewa mabadiliko kumbe wanaletewa viroba ili kuharibu akili zao wasije wakawasumbua, utamlilia nani wakati jamaa wako kimkakati kutunisha mifuko na matumbo yao.

Angalieni maneno yao “mitanzania mijinga sana” wanawadharau hata watu ambao ndiyo wapiga kura? Achaneni na usanii huo wa watu wachache wanaojikumbuka wenyewe, kuhama kwao siyo kumjali Mtanzania bali ni kuboresha maisha yao popote poale kwenye fursa angalia lowasa, sumaye, masha. Wapo kimaslahi hao binafsi.

Nafurahi kuona ccm imeanza kuogopa
 
Nawasihi Watanzania msithutu kujaribisha kama moto unaunguza wakati vijana wamezuzuka na udanganyifu wataletewa mabadiliko kumbe wanaletewa viroba ili kuharibu akili zao wasije wakawasumbua, utamlilia nani wakati jamaa wako kimkakati kutunisha mifuko na matumbo yao.

Angalieni maneno yao "mitanzania mijinga sana" wanawadharau hata watu ambao ndiyo wapiga kura? Achaneni na usanii huo wa watu wachache wanaojikumbuka wenyewe, kuhama kwao siyo kumjali Mtanzania bali ni kuboresha maisha yao popote poale kwenye fursa angalia lowasa, sumaye, masha. Wapo kimaslahi hao binafsi.

Tena wameshawahi kushika dola?
 
Mimi sikuamini kabisa moshi, arushaaa, kama watamsaport pombe duuu, ukawa iko kazi.
 
Tena wameshawahi kushika dola?

Dola waliyoshika ni zile za Marekani za kununulia vitu wanafikiri ni sawa na kuongoza nchi. Wajipange sawasawa kwa sasa bado wasubiri waelewane kwanza maana hata wameunganisha genge wakaliita ukawa- "Ukae karibu wanakuja" kwani walishajua urais kwao ni ndoto.
 
Chadema mnashindwa kujua wanachama wenu ni akina nani! leo hii uje useme ukawa, sasa nani mwanachama wa cuf hachukii ufisadi? au wa nccr mageuzi? uje usema tunaimani na Lowasa, mwanachama wa ccm hana maneno mengi kama ya vyama vingine!! Na pia hapendi ubishi, yeye utasikia subiri tarehe 25. CHADEMA MMEJIARIBIA SANA!
 
Ccm wana uhakika, mabalozi wenyewe, ni kura laki tisa, hawa wa nyumba kumi!! Bado hujaenda maeneo mengine!
 
Bukama nimekuelewa! Hapa ni watu waelewe tu !Lowasa hawezi kuwa Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, anashindwa hata na yule mama wa ACT wazalendo kunadi seraa, kazi sana! Wanaondelea kula pesa ya lowasa, waongeze kazi maana siku zinakaribia za mwisho za kula helaa!!!
 
Unaonaeee, jamaa hawajjjui. Tuwahimize tu wampigie kura Magufuli aweze kuliongoza taifa
 
Poleni Mazombie wa ccm. Ccm ndo linakufa hivyo sijui mtakula wapi
 
Dola waliyoshika ni zile za Marekani za kununulia vitu wanafikiri ni sawa na kuongoza nchi. Wajipange sawasawa kwa sasa bado wasubiri waelewane kwanza maana hata wameunganisha genge wakaliita ukawa- "Ukae karibu wanakuja" kwani walishajua urais kwao ni ndoto.

Wategemezi wa FISIEM mnalo mwaka huu.
 
Nawasihi Watanzania msithutu kujaribisha kama moto unaunguza wakati vijana wamezuzuka na udanganyifu wataletewa mabadiliko kumbe wanaletewa viroba ili kuharibu akili zao wasije wakawasumbua, utamlilia nani wakati jamaa wako kimkakati kutunisha mifuko na matumbo yao.

Angalieni maneno yao “mitanzania mijinga sana” wanawadharau hata watu ambao ndiyo wapiga kura? Achaneni na usanii huo wa watu wachache wanaojikumbuka wenyewe, kuhama kwao siyo kumjali Mtanzania bali ni kuboresha maisha yao popote poale kwenye fursa angalia lowasa, sumaye, masha. Wapo kimaslahi hao binafsi.

Mimi na familia yangu kura Ukawa tumeshakula kiapo kama 25 Oct tukifika hai.Mungu atujalie Lowasa awe Raisi wa JMT.Aminiiiiii.
 
Naziona chupi za watu kupitiliza viunoni mwao.
 
Back
Top Bottom