Niliapply chuo juzi Jana nimeletewa message ambayo imeandikwa admited baada ya kupiga sim chuo husika wakasema nimechaguliwa nimeuliza watu ambao waliwai kuapply wananiambia majibu hutoka baada ya wiki mbili baada ya tarehe walotaja ya mwisho Ku apply
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app