Yapata mwaka mmoja tangu niweke uzi wangu leo nakuja na huu uzi aisee tanzania hii (bongo) ukitaka kupiga hela za bure unapiga vizuri tu jamii kubwa za watanzania wanateswa sana na umaskini na mapenzi
Niliwahi kufungua kilinge cha uganga wa kienyeji aisee nilipiga sana chenji wakuu
Aisee asikuambie mtu wakuu watu wanateswa sana na mapenzi na umaskini
Niliwahi kufungua kilinge cha uganga wa kienyeji aisee nilipiga sana chenji wakuu
Aisee asikuambie mtu wakuu watu wanateswa sana na mapenzi na umaskini