Ukiambiwa unanuka kikwapa utafanyaje? Utakasirika?

Nitamwambia Asante sana dada /kaka nipe nafasi ya kujirekebisha ..ninachohitaji kwako ni upendo wako tu
 
Mimi nitaendelea kuongea nae,na nitanunua perfume za kumvutia,akiingia line tuu,siku ya kwenda ku doo,nitafanya zile pre- match alafu akisha kuwatayari kutendwa nami nitamwambia kuwa duu bibie Ndunandu yako inanuka sana tuahirishe mpaka siku itakapo nukia!!
 
yah, hapo sasa umepatia.............. huyo ndo rahisi zaidi kumpata.................. mimi mtu kama uyo, hata wiki mbili hachukui, nitakuwa nimeishampata....................
hahaaaa
ngoja kwanza nicheke shem, its been long!!!!
 
Mimi nitaendelea kuongea nae,na nitanunua perfume za kumvutia,akiingia line tuu,siku ya kwenda ku doo,nitafanya zile pre- match alafu akisha kuwatayari kutendwa nami nitamwambia kuwa duu bibie Ndunandu yako inanuka sana tuahirishe mpaka siku itakapo nukia!!

sasa unamkomoa wakti mwenzio alikwambia na roho safi tu jamani...
 
sasa unamkomoa wakti mwenzio alikwambia na roho safi tu jamani...
Huyu hakuniambia kwa roho safi,umeshaambiwa kuwa kwa maringo anatoa kauli hiyo,nami kwa dharau na kejeli nitampa kauli hiyo,natumai utanielewa tuu!!
 
Huyu hakuniambia kwa roho safi,umeshaambiwa kuwa kwa maringo anatoa kauli hiyo,nami kwa dharau na kejeli nitampa kauli hiyo,natumai utanielewa tuu!!
hahaaa dah yaani utampa mtihani mbaya sana........
 
mi ntafurahi next time ntajipulizia David Off cool water mwenyewe ataniambia mmh unanukia vizuriii
 
nitafurahi sana kwani nitakuwa na uhakika wa kumpata 100%.............. kwani kwa uzoefu w\angu, huyu ndiye rahisi zaidi kumpata............ hahaha................ wanosema watajisikia vibaya mna tatizo inferiority complex...............
u must be kidn right?
 
u must be kidn right?

i am seriou ....... unajua ubwabwa ukipinduliwa..... aimeen ukigeuzwa chunguni ndio unakuwa mtamu na unaiva haraka............ kauli nyingine unaziona mbaya lakini ni passion tosha................. unajua akiniambia hivyo day 1, day 2 ninaingia hivi: "............nimekuja tena dia bana kikwapa changu unajua unakiweza wewe tu hapa mjini....... hahah.... hakuna mwingine......." yatakayoendelea hapo............ subiri jibu baada ya wiki moja ama mbili hivi.............. hahah.......... tunacheza na saikolojia tu mpendwa..............

tena ukitaka asichukue raundi achana kabisa na mpango wa utumia hayo ma deodorant........... ifike mahali hicho kikwapa akichukulie kama identity yako.......... akikuzimia atakuwa na wivu huyoo.............. hahah.....................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom