Ukiambia uchague mmoja je yupi kati ya hawa anafaa kuwa mke wako?

Mshamba mzigo tu utakuja kukuta viatu kwny fridge buree ona mkulu wetu alivomshamba mambo yanaenda Z-A
 
Mke ni sawa na kujenga nyumba.
Unataka kujenga kwa ajili ya matumizi gani, mf: malazi, duka, bucha, nk nk.
Kwa hiyo wote wanafaa kutokana na hitajio la mtu na kwa wakati gani.
Hauna gari, hauna nyumba hauna watoto, chukua herufi B muanze wote.
Ulishajenga ulishazaa na pesa unazo' beba herufi A ili utumie. Maana kula hela bila mwanamke mrembo ni sawa na kula ugali bila kitoweo, haunogi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…