Ukiambia uchague mmoja je yupi kati ya hawa anafaa kuwa mke wako?

Ukitaka kuwa tajiri B mpiga kazi, ukitaka kufilisika A mtumiaji

Yangu AB AB ngoja nikajifkirie ntaleta majibu
 
Mke anatakiwa awe na uwezo wa kuishi maisha yote kama huyo B au huyu hapa
d31020e878699f564fad5902ef65fc3f.jpg
 
wee mbn unazingua? huyo ni mtu mmoja. picha A yupo beach, na picha B anaenda kuchota.
 
Mkuu kwa haki ya nafsi yako,sema A anafaa. Mwanamke akipambika ni pambo, huongeza muda wa kuishi duniani. Anakukumbusha kwenda hospital kupima magonjwa mbali mbali (kama ni mchepukaji) pasipo hiari
Unamlisha maneno mkuu...ibua kipaji mkuu hata B anaweza akanoga kama A endapo utafanya investment na sio lazima avae kama A lakini kwa swaga zake hizo hizo kama utaamua kukuza kipaji basi B atanoga sana
 
Back
Top Bottom