Mkuu kwa haki ya nafsi yako,sema A anafaa. Mwanamke akipambika ni pambo, huongeza muda wa kuishi duniani. Anakukumbusha kwenda hospital kupima magonjwa mbali mbali (kama ni mchepukaji) pasipo hiariHamna anayefaa hapo
Sio ingekuwa vice versa?A - anakuwa mke halali na
B - anakuwamchepuko
Hapana, hivyo hivyo nilivyoweka ndo inanogaSio ingekuwa vice versa?