Ukialikwa mahali, beba hata kinywaji cha kuzugia basi

Ukialikwa mahali, beba hata kinywaji cha kuzugia basi

Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?

Ila nadhani inaeleweka.

We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?

Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?😇🤔

Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
Wewe ni masikini , ombaomba ,mlalahoi ,fukara, huna uwezo wakualika watu !!hachana na mambo ya Mialiko huna uwezo huo,wew endelea kuihidumia familia yako ugali na tembele
 
Mada ngumu sana hii hata sijui niianzie wapi?

Ila nadhani inaeleweka.

We unajijua unapenda DOMPO unaendaje kwenye mwaliko huna hata kachupa kamoja ka iyo dompo, just in case aliyekualika hajanunua kinywaji icho?

Seriazly umealikwa mahali unakuja wewe tu na ke.nde zako?😇🤔

Tunajua maisha magumu lakn tusifanyiane ivo wakuu.
Hajasema kijiko, beba kinywaji kama umealikwa kwenye mlonyumbani kwa mtu. Kama ni hotel au bar basi na wewe uwe na pesa kidogo ya kuongezea vinywaji 😂
Sasa umealikwa lunch unabeba na safari lager! Serious?
 
Sasa umenialika wewe, nianze kujibebesha mizigo mimi? nitakula nitakachokikuta, kinywaji najua PEPS huwezi kosa
 
Back
Top Bottom